Dunia inaelekea wapi? Watu wasio na akili wanazaliana kwa kasi, huku wenye akili hawazaliani

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Duniani kote watu wenye akili kama Wajapan, Wakorea, Wazungu wa Ulaya na hata Wachina japo wapo wengi ila hawazaliani tena kivile

Watu wasio na akili au wenye akili ndogo ndio wanaongoza kuzaliana kwa fujo , je Dunia itaendelea kupata tena maendeleo na ubunifu iliyokuwa ikipata kama watu wenye akili hawataki kuzaliana!?



 
Wengi wasio na akili wamewekeza sana kwenye ngono
 
Duniani kote watu wenye akili kama Wajapan, Wakorea, Wazungu wa Ulaya na hata Wachina japo wapo wengi ila hawazaliani tena kivile

Nonesense!, stupid argument. Kwahiyo hao wazungu wa ulaya, wakorea, wajapan na wachina ndio wenye akili pekee hapa duniani?

Akili ni nini?

Kweli waAfrica tulistahili kuwa colonized.

Japo una point.

Tumia akili yako vizuri
 
Wewe ndio huna akili
 
Inasikitisha kwani wengi wanazaliana na kuwa waumini wa dini za maboti ambazo utaka wafuasi wake kuendelea kuwa wajinga tu na kuchezewa akili kila kukicha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…