begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,124
- 1,946
ni hatari mkuu,ila mtu mmoja mwenye akili ni zaidi ya wasio na akili billion moja kwa hiyo hakijafa kitu...kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi kwahiyo hao milion 200 nikenge tu wasindikizaji hawana madhara.