Dunia inaelekea wapi? Watu wasio na akili wanazaliana kwa kasi, huku wenye akili hawazaliani

Dunia inaelekea wapi? Watu wasio na akili wanazaliana kwa kasi, huku wenye akili hawazaliani

Siungani na mtoa mada lakini
Kwa kutumia akili fursa hutengenezwa
Hakuna malaika wanaotengeneza fursa kwa jamii nyingine bali hao wenyewe hufanya hivyo na hayo ndiyo matumizi ya akili
 
Canada na Japan wanatafuta Wananchi wengine toka nnje ya nchi kuendesha na kusimamia rasilimali zao maana non resources ni nyingi sana zaidi ya Human being resources.

Matokeo hayo ni sababu ya upumbavu uliouandika hapa kwa imani za kijinga kama zako, tena wengine wakiendekeza masterbation kama suluhisho la uselapimbi badala ya kuoa Wife materials na kuishi nao katika ndoa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kenge kweli, kuita watu weusi na waarabu nchini kwako ku replace wananchi wazawa ni sawa? Wewe kweli mbumbumbu
 
Unadhani ni nini kinachowafanya wasongezeke km siyo ushoga ulio yakumba mataifa hayo unayotaja kuwa watu wake wana unachokiita akili?
Wanaweza kuwa mashoga lakini ndio wanaokufanya una hiyo simu yako hapo, unavaa nguo, unapasi nguo, unatumia umeme, au ungekuwa unaishi kwenye vibanda vya nyasi ukifuga mbuzi
 
Dangote mwenyewe management yake na wataalamu aliowaajiri wengi ni wazungu, wahindi na wachina,
Baada ya kampuni zake kukua lakini alianza mwenyewe na sasa ni Boss wao
Wewe ukiwa na makampuni utaajiri mswahili hazina na management zote kubwa?
Hata uwape mawaziri utapigwa sana
Ndio maana hata kina Bakhresa wameajiri wazungu na wahindi na Wakenya
Wachache wabongo
Ukweli na sababu ni wizi
 
Kws

Waafrica si kwamba hatuna akili. Hatujapata fursa sawa na hao uliowataja wote. Chukua leo watoto 20 wa Kiafrica na hao wengine walee mazingira yanayofanana kila kitu uone kama hawatakuwa sawa.
Wamarekani weusi tunawaona walivyo kule Marekani licha ya kuishi na wazungu kwa miaka zaidi ya 400

Hata Wazulu ni vivyo hivyo
 
Wanaweza kuwa mashoga lakini ndio wanaokufanya una hiyo simu yako hapo, unavaa nguo, unapasi nguo, unatumia umeme, au ungekuwa unaishi kwenye vibanda vya nyasi ukifuga mbuzi
Kwani boss sababu ya uwepo wa maisha ni nini? Masai asiye na simu aliye mbugani na wewe unayejua kutumia simu au kuiunda mmezidiana nini linapukuja suala la sababu ya kuwepo kwa maisha ya binadamu hapa duniani?
 
Back
Top Bottom