Sio kwamba watu hawana akili bali wamekataa kuwa nazo
Mimi ni mtu mzima nakumbuka zamani watu walikuwa na biashara zinazokua na mpaka kumuona mtu huyu ni tajiri ana miliki mashamba ana nyumba ana magari
Lakini leo hii watu wamekuwa majizi na akili zao ni upigaji tu hata ukimpa mshahara wa 3 au 4m kwa mwezi bado ataiba tu
Sheria hazifuatwi tumekua kama mbuzi tu anaibuka waziri kachaguliwa asubuhi anadamka kwenda kufunga geti eti watakaochelewa wakae nje
Halafu baada ya wiki yeye mwenyewe waziri yuko kama wao
Punctuality, dedication, hard work, trustworthy na mengi hatuna watz
Tunataka maisha ya ujanja ujanja tu au niseme ya ujinga ujinga tu
Mkandarasi unapiga mpaka cement ili atauuwe ama
Traffic anapewa 20,000 kwa kuachia bus lenye tairi kipara
Na hajali likienda kuuwa watu huko, yeye anaona 20,000 tu
Sasa kuna binadamu hapo