Dunia inaelekea wapi? Watu wasio na akili wanazaliana kwa kasi, huku wenye akili hawazaliani

Ndugu hao yote uliwataja ni ngozi nyeupe lakni. Ni waarabu sio weusi.. ukumbuke hiyo technically ya mweusi hata mtu mweusi Kwa Sasa haitumii anatumia ya mzungu. Ndo atajulikana Duniani..
Egyption sio warabu. Wamoroco sio warabu, wasomali sio warabu, wasomali sio warabu.
Google the thece origin those people.
Brainwashed !
They are culturally Arabs.
Egyption ni mulatto kama wabrazili au black America japo kuna warabu wahamiaji.
Unaamini vipi kuwa muhamed Salah ni mwarabu ? Macho yako yanadanganyika kuwa Salah ni mwarabu. Misri imejaa black egyption wengi tu tena tangu zamani na mpaka leo. Tafuteni ukweli hata kwa picha mtandaoni.
Kwa nini mnaendelea kuamini ujinga wa kuamini bara la Africa ni la watu weusi tu. Ipo siku mtasema hata warangi ni warabu ili kufhihirisha fokra za kikoloni.
 
Ila hao hao wenye akili,ndo wanaoiangamiza Dunia.
Ila kiuhalisia,kila mtu ana akili nzuri tu mbona.
Sema tunajiendekeza tu.
Kwani zamani kulikuwa na kiberiti!🤔.
Ila watu wetu walikula nyama choma.
Wale walituwahi tu,ila fanya uchunguzoli,ngozi nyeusi Ina Mambo mengi Sana,ila wao hujitweza kuwa juu basi.
Wazungu walifanikiwa baada ya kuanzisha tabia ya kulichunguza jambo na kupokea matokeo.
Waafrika walielewa kanuni nyingi sana za nature.
Mfano dhana ya kinu na mchi ili waweze kutwanga ina maana walijua jinsi gravity force inavyofanya kazi. Mjinga mjinga asielewa anaweza kufikiri kinu ni jambo rahisi kumbe kanunu za newton zime aply kabla hata Newton haja propose hizo fomula.
Ukija kwenye mziki. Waafrika walielewa sound wave zinavyotokea na kuunda vifaa mbali mbali vya mziki kama ngoma marimba nk.
Tabia yaa kuamini kila ubunifu wa mwafrika ni wa kijinga wakati ubunifu huo huo unakuzwa mataifa mengine.
Mfano kungfu ni utamaduni uliogundiliwa China na una aminika ni ugunduzi mkubwa ila mieleka iliigunduliwa Afrika magharibi haiwezi kuwa jambo la maana.
Nje ya Afrika jamba lina maana ila likifanyika Afrika linakuwa la kawaida na bahati mbaya waafrika wenyew wamekubaliana ku promote mambo ya nje na kudunisha mambo yao hata kama ni makubwa vipi.
 
Duniani kote watu wenye akili kama Wajapan, Wakorea, Wazungu wa Ulaya na hata Wachina japo wapo wengi ila hawazaliani tena kivile

Watu wasio na akili au wenye akili ndogo ndio wanaongoza kuzaliana kwa fujo , je Dunia itaendelea kupata tena maendeleo na ubunifu iliyokuwa ikipata kama watu wenye akili hawataki kuzaliana!?

View attachment 2845588

View attachment 2844266
Kigezo gani umetumia kusema wenye akili na wasio na akili.
 
Mpaka pale utakaopojua kuwa akili sio rangi ya ngozi, na kuwa kipimo cha akili sio hicho unachofikiria ndio utakuwa na utimamu...lakini kwa sasa endelea na imani yako.
 
Jamaa amechukulia ngozi nyeusi ni ujinga
Ameathirika Imani juu ya ngozi nyeupe.
Kila watu wazaliane Sawasawa na ukubwa wa maeneo yao. Tunahitaji nguvu kazi zaidi na zaidi kuikwamua Afrika
Hili ndo kosa tunalolifanya. Make tegemezi ndo wengi kuliko wazalishaji. Mfano mzuri hapa tz. Mwa watu 61 ml watoto. Wamama wa nyumban na wazee ni karibia 45 ml. Kwa hiyo wazalishaji ni 15 ml tu Sasa hapo uchumi unakuaje
 
Nonesense!, stupid argument. Kwahiyo hao wazungu wa ulaya, wakorea, wajapan na wachina ndio wenye akili pekee hapa duniani?

Akili ni nini?

Kweli waAfrica tulistahili kuwa colonized.

Japo una point.

Tumia akili yako vizuri
Namimi nilitaka atufahamishe maana ya akili ili tujadili hii hoja tukiwa tunaufahamu wa neno AKILI
 
Nonesense!, stupid argument. Kwahiyo hao wazungu wa ulaya, wakorea, wajapan na wachina ndio wenye akili pekee hapa duniani?

Akili ni nini?

Kweli waAfrica tulistahili kuwa colonized.

Japo una point.

Tumia akili yako vizuri
Afrika tumegundua Nini?
 
Wazungu walifanikiwa baada ya kuanzisha tabia ya kulichunguza jambo na kupokea matokeo.
Waafrika walielewa kanuni nyingi sana za nature.
Mfano dhana ya kinu na mchi ili waweze kutwanga ina maana walijua jinsi gravity force inavyofanya kazi. Mjinga mjinga asielewa anaweza kufikiri kinu ni jambo rahisi kumbe kanunu za newton zime aply kabla hata Newton haja propose hizo fomula.
Ukija kwenye mziki. Waafrika walielewa sound wave zinavyotokea na kuunda vifaa mbali mbali vya mziki kama ngoma marimba nk.
Tabia yaa kuamini kila ubunifu wa mwafrika ni wa kijinga wakati ubunifu huo huo unakuzwa mataifa mengine.
Mfano kungfu ni utamaduni uliogundiliwa China na una aminika ni ugunduzi mkubwa ila mieleka iliigunduliwa Afrika magharibi haiwezi kuwa jambo la maana.
Nje ya Afrika jamba lina maana ila likifanyika Afrika linakuwa la kawaida na bahati mbaya waafrika wenyew wamekubaliana ku promote mambo ya nje na kudunisha mambo yao hata kama ni makubwa vipi.
una AKILI mingi sana jamaa!!!,ningekuwa na uwezo ningekupeleka CUBA!!
 
Duniani kote watu wenye akili kama Wajapan, Wakorea, Wazungu wa Ulaya na hata Wachina japo wapo wengi ila hawazaliani tena kivile

Watu wasio na akili au wenye akili ndogo ndio wanaongoza kuzaliana kwa fujo , je Dunia itaendelea kupata tena maendeleo na ubunifu iliyokuwa ikipata kama watu wenye akili hawataki kuzaliana!?

View attachment 2845588

View attachment 2844266
wewe unafikiri kwa nini mawe yanapatikana kila sehemu mpaka tunafukuzia mbwa,lakini dhahabu kuipata ni issue!!
 
Hili ndo kosa tunalolifanya. Make tegemezi ndo wengi kuliko wazalishaji. Mfano mzuri hapa tz. Mwa watu 61 ml watoto. Wamama wa nyumban na wazee ni karibia 45 ml. Kwa hiyo wazalishaji ni 15 ml tu Sasa hapo uchumi unakuaje
Uvivu na hatujakutana na hali ngumu ya maisha ambayo utatoa msukumo wa kufanya kazi. Yaani ile mtu unaona nisipopambana hapa na kufa njaa. Utafanya tu kazi.
Mfano ya nchi zilizofanikiwa ni China na India.
 
Back
Top Bottom