Dunia inaenda kasi sana kipindi cha Kiti Moto kikirejea kitakosa watazamaji nchini

Dunia inaenda kasi sana kipindi cha Kiti Moto kikirejea kitakosa watazamaji nchini

Mi nadhani nimekuzidi umri... Huyu Mayala nakumbuka alitangaza Channel ten kama kumbukumbu zipo sawa... Ila huyu wa JF nadhani ni wa PPRA😀😀.. Kama ni yeye yeye basi dunia inaspidi sana...
Ndio huyo huyo, huyu PPRA ni wakati anajitafuta, kama sikosei hata kipindi cha kitimoto kilikuaga sio mali ya ITV, Msukuma huyu alikua ana nunua airtime pale Mikocheni
 
Back
Top Bottom