Tetesi: Dunia inaenda kuungana dhidi ya Urusi

Unaamini kua anachofanya Putin na Russia ni ujinga? Hujui kwamba unaweza kua mjinga wewe? Hivi sasa tunaweza sisi kama Tanzania ghafla tu tukaanza kuipiga Burundi bila sababu?
 
Si huwa tunaaminishwa kwamba RUSSIA ni nchi ndogo sana kiuchumi na kimaendeleo ambapo haiwezi hata kufikia thamani ya bajeti ya ulinzi na usalama wa jimbo 1 tu la USA?

Imekuwaje USA, NATO na EU hasi sasa waendelee kupewa kichapo cha nguvu huko UKRAINE hadi sasa hivi [emoji848][emoji28]
 
Unaamini kua anachofanya Putin na Russia ni ujinga? Hujui kwamba unaweza kua mjinga wewe? Hivi sasa tunaweza sisi kama Tanzania ghafla tu tukaanza kuipiga Burundi bila sababu?
Kamwe haiwezekani,ikifikia huko maana yake njia nyingine zote zimeshindikana,na hilo imelazimu kuwa njia ya mwisho hata japo chungu
 
USIWE NA UTUMWA WA FIKRA ZA KIMAREKANI uwe unajua pia kuunganisha dot, marekani na NATO walivyoua na wakivamia Libya, IRAQ,SYRIA, AFGHANSTAN, N.K kwa kigezo cha kulinda maslahi yao binafsi, wewe ulikuwa bado tumboni eti? kama ndivyo uwe unauliza. Russia naye analinda maslahi yake dhidi ya maadui zake NATO na marekani ndani ya Ukraine, sawa totoo? haya endelea kuangalia katuni eeh
 
Wajinga hao wamewekeza kwenye uongo na unaa kwa kiwango kikubwa.
 
wapumbavu hawa NATO NA USA, WAMEZOEA KUINGOZA DUNIA KISUNGURA SUNGURA, this time ni KIVUMBI NA JASHO....YATAKUWA MAGUMU KWAO
 
Mbona ya Gadaffi husemi, mbona ya Sadam husemi, acha ushabiki.....
 
Ukweli mtupu, nashangaa sana watu wanaoleta ushabiki na kuona US na vibaraka wake western wanachofanya ni sahihi!!

Lazima dunia ibalance shobo, haiwezekani kikundi cha nchi fulan kuifanya dunia kama kigoda cha kukalia.

US Asibodilika na kutaka kuendelea kujitanua ili kuishika dunia yote basi vita ya 3 ya dunia haiepukiki
 
Kwa hiyo Crimea ikirudishwa tena Ukraine ndio Putin atafanya nini, atalipua nyukilia au?
 
Mbona ya Gadaffi husemi, mbona ya Sadam husemi, acha ushabiki.....
Hizi ndio akili za kijinga.

Ulijua kwamba siyo haki na ukachukia, Iraq, Afghan n.k zilipovamiwa, ila jambo kama hilohilo linafanywa na Urusi na unalishangilia! Very stupid and Pathetic indeed!
 
Hivi unafahamu hao unao waita magaidi wametengenezwa na nani? Kuanzia Mujahedeen wa Afghanstan, Al Qaeda ya Osama Bin Laden, ISIL, nk!!

Kama ulikuwa hujui, basi tambua fika Marekani kupitia shirika lake la ujasusi, yaani CIA ndiyo waratibu na waanzilishi wakuu wa hivyo vikundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…