Tetesi: Dunia inaenda kuungana dhidi ya Urusi

Gadaffi huo gaidi kamfanyia nani?
Saddam je?
Assad wamemshindwa pumbavu zao mashoga wa kimarekani
 
Sasa huku ni kukashifu dini za watu ni jambo baya usilete udini kwenye mada hii,kama umeshindwa hoja bora ukae kimya kuliko kuleta ujinga wa kushifu udini za watu kama huwezi kuwa great thinker basi usiwe great sinker
 
Kweli akili imeloa
 
Mkuu, kama weye wapenda kinywaji basi hapa nilipo Kibaigwa pana vileo vya kila aina nimeviweka kabatini. Ila naweza kukutimua popote ulipo, kula tano.

Jokes!!🙂

Umeandika kifupi lakini ni "neat and clear".
 
Hizi ndio akili za kijinga.

Ulijua kwamba siyo haki na ukachukia, Iraq, Afghan n.k zilipovamiwa, ila jambo kama hilohilo linafanywa na Urusi na unalishangilia! Very stupid and Pathetic indeed!
Yaani wee mtindio wa fikra kabisa kwa hiyo walichokuwa wanafanya marekani na Nato kujiimarisha kijeshi kuizunguka russia na kuandaa military base ndani ya Ukraine against Russia ni sahihi? Yaani kiumbo unaonekana wa makamu Ila kichwani chenga chenga mno
 
Putin hamumuwezi mtu mmoja mnakalia vikao nchi zote kubwa yeye anawatazama tu mnavyo tapatapa.
 
Watu wa magharibi waliingia Libya na Cosovo kwa kibali cha Umoja wa Mataif(UN), Urusi imevamia Ukraine kwa kibali cha nani??
 
Uongo mtupu, ingekuwa tatizo ni NATO Urusi angezivamia Sweden na Finland nazo.
Jamaa yuko shallow sana kwenye historia ya hii vita. Hata hajui huu upuuzi wote umechangiwa kwa sehemu kubwa na hao Marekani wake, huku akishirikiana na Washirika wake wa NATO, dhidi Urusi.
 
Swali la msingi sana ukizingatia Russia ina tatizo kubwa la idadi ya watu kuzidi kupungua(population collapse)
Swali je kwanini urusi anayataka majimbo ya Ukraine tofauti na hiyo Crimea...?..

Kama ni hao hao watu anaowatetea alishindwa kuwapeleka Russia na kuwapatia eneo la kuishi??
 
Mbona Iddi Amin alianza kuipiga Tanzania bila sababu?
Mbona Saddam Hussein alianza kuipiga Kuwait bila sababu?
Mbona Stalin alianza kuipiga Finland bila sababu?
Unaamini kua anachofanya Putin na Russia ni ujinga? Hujui kwamba unaweza kua mjinga wewe? Hivi sasa tunaweza sisi kama Tanzania ghafla tu tukaanza kuipiga Burundi bila sababu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…