The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Hivi wewe hua akili yako haiwazi kingine zaidi ya huu ujinga wako wa chuki ya udini? au hiyo Avatar ya msalaba uliyoiweka ndio inakufanya hivyo? mbona masista wanavaa hijab? mkimchora bikra maria pia hua amevaa hijab?ungewauliza pia kama wangependa raisi wao wa kwanza mwanamke awe na hijab kuiwakilisha nchi yao, >95% wangesema nope, na 99% ya muslims wangesema, hell no ...
Obama ameeleza ukweli mtupu aiseWanaume wamezidi ubabe, hawakubali kujishusha kwa maslahi ya wote, tabia ambayo inailetea hasara dunia yote.
Wanaume hawaamini kama unaweza kumkosoa, kumuelekeza, kumfukuza au kumuagiza mtu bila kufokafoka kwanza.
Wanaume hawaamini kama unaweza kufanya jambo zuri la maendeleo bila mbwembwe, kujisifia sana mwenyewe na kusifiwa.
Wanawake ni kinyume chake, wanachohitaji wao ni matokeo mazuri tu basi. Wanaona aibu kwake kukiwa na hali mbaya kuliko kwa mwenzake kama yeye, kiongozi kama yeye, mzazi kama yeye, mzuri kama yeye. Hatamani kuharibu labda itokee bahati mbaya tu. Watatumia uwezo wao wote, akili yao yote na mbinu zao zote katika kufanikisha jambo lake hata kama iwe ni sherehe tu ya birthday ya mtoto. Hawapendi kutia aibu, hawavumilii aibu na hawapendi kusemwa vibaya.
Mwanamke Ni mwepesi kusamehe ili mambo yaende. Udhaifu wake ni kama ukimbeza, ukimdharau, kumdanganya, ukimtukana na kumpiga mbele za watu. Kama Akikukasirikia kwa mambo hayo ni vigumu kukusamehe.
Rais Obama nae ameliona hilo, hebu sikiliza taarifa hii.
View: https://youtu.be/HOXzORhon6g?si=1hOqHjVJCW-Ssp-o
Wanawake kwa kujipigia promo mko vizuriWanaume wamezidi ubabe, hawakubali kujishusha kwa maslahi ya wote, tabia ambayo inailetea hasara dunia yote.
Wanaume hawaamini kama unaweza kumkosoa, kumuelekeza, kumfukuza au kumuagiza mtu bila kufokafoka kwanza.
Wanaume hawaamini kama unaweza kufanya jambo zuri la maendeleo bila mbwembwe, kujisifia sana mwenyewe na kusifiwa.
Wanawake ni kinyume chake, wanachohitaji wao ni matokeo mazuri tu basi. Wanaona aibu kwake kukiwa na hali mbaya kuliko kwa mwenzake kama yeye, kiongozi kama yeye, mzazi kama yeye, mzuri kama yeye. Hatamani kuharibu labda itokee bahati mbaya tu. Watatumia uwezo wao wote, akili yao yote na mbinu zao zote katika kufanikisha jambo lake hata kama iwe ni sherehe tu ya birthday ya mtoto. Hawapendi kutia aibu, hawavumilii aibu na hawapendi kusemwa vibaya.
Mwanamke Ni mwepesi kusamehe ili mambo yaende. Udhaifu wake ni kama ukimbeza, ukimdharau, kumdanganya, ukimtukana na kumpiga mbele za watu. Kama Akikukasirikia kwa mambo hayo ni vigumu kukusamehe.
Rais Obama nae ameliona hilo, hebu sikiliza taarifa hii.
View: https://youtu.be/HOXzORhon6g?si=1hOqHjVJCW-Ssp-o
Wavaa 👙 👙 👙 wana solidarity sanaWanawake kwa kujipigia promo mko vizuri
View attachment 3686731
Wa kwetu mwanamke amevunja record ya dunia ya kuingia madarakani kwa mauaji ya kutisha ya raia wa nchi yake.
Ni aibu na doa kubwa kwa jinsia yetu.
Hivi unaakili sawa sawa? Au unaanzisha thread kisha unajibu kwa kujifurahisha 🖕Kama wangekuwa watanzania hao ungeona waliovaa jez za simba na yanga hapo. Huioni jezi ya Nigeria hapo?
Hakuna anaebisha kuwa hawakufa watu, lakini lazima pia uwe na akili ya kujiuliza kwanini walikufa ili wasife wengine siku zijazo.Hivi unaakili sawa sawa? Au unaanzisha thread kisha unajibu kwa kujifurahisha 🖕
Hivi una miaka mingapi wewe?
Hiyo kejeli unayoiongea mbele za damu na uhai wa watu uliopotea, huo ujasiri una upata wapi? Hiyo nguvu unaitoa wapi?
Mungu wetu ni shahidi wa haya' yote yaliyowahi kutokea...
Amini hili "Kila damu iliyowahi kumwagika au kuanguka ardhini kwasababu zisizo na mashiko au maana yeyote, Mungu aliyeumba atajua namna ya kuzilipa"
We are not dealing with politics here 🖕 tunazungumzia ndoto zilizokuwa miongoni mwa waliopoteza maisha.
Next time acha mzaha
Coward
Punguza kejeli na kutaja suala vyama hasa linapokuja suala la uhai wa mwanadamu...Hakuna anaebisha kuwa hawakufa watu, lakini lazima pia uwe na akili ya kujiuliza kwanini walikufa ili wasife wengine siku zijazo.
Kwani waliokatwa vidole hawakutoka damu?Hivi unaakili sawa sawa? Au unaanzisha thread kisha unajibu kwa kujifurahisha 🖕
Hivi una miaka mingapi wewe?
Hiyo kejeli unayoiongea mbele za damu na uhai wa watu uliopotea, huo ujasiri una upata wapi? Hiyo nguvu unaitoa wapi?
Mungu wetu ni shahidi wa haya' yote yaliyowahi kutokea...
Amini hili "Kila damu iliyowahi kumwagika au kuanguka ardhini kwasababu zisizo na mashiko au maana yeyote, Mungu aliyeumba atajua namna ya kuzilipa"
We are not dealing with politics here 🖕 tunazungumzia ndoto zilizokuwa miongoni mwa waliopoteza maisha.
Next time acha mzaha
Coward
Unahitaji uponyaji pepo la kukata watu vidole na kuchoma mali zetu likutoke. Pokea uponyaji:Kuna mstari mwembamba sana kati ya uchawa na ushoga.
Nchi nyingi za Ulaya zina Marais wanawake na wana enjoy sana.Wanaume wamezidi ubabe, hawakubali kujishusha kwa maslahi ya wote, tabia ambayo inailetea hasara dunia yote.
Wanaume hawaamini kama unaweza kumkosoa, kumuelekeza, kumfukuza au kumuagiza mtu bila kufokafoka kwanza.
Wanaume hawaamini kama unaweza kufanya jambo zuri la maendeleo bila mbwembwe, kujisifia sana mwenyewe na kusifiwa.
Wanawake ni kinyume chake, wanachohitaji wao ni matokeo mazuri tu basi. Wanaona aibu kwake kukiwa na hali mbaya kuliko kwa mwenzake kama yeye, kiongozi kama yeye, mzazi kama yeye, mzuri kama yeye. Hatamani kuharibu labda itokee bahati mbaya tu. Watatumia uwezo wao wote, akili yao yote na mbinu zao zote katika kufanikisha jambo lake hata kama iwe ni sherehe tu ya birthday ya mtoto. Hawapendi kutia aibu, hawavumilii aibu na hawapendi kusemwa vibaya.
Mwanamke Ni mwepesi kusamehe ili mambo yaende. Udhaifu wake ni kama ukimbeza, ukimdharau, kumdanganya, ukimtukana na kumpiga mbele za watu. Kama Akikukasirikia kwa mambo hayo ni vigumu kukusamehe.
Rais Obama nae ameliona hilo, hebu sikiliza taarifa hii.
View: https://youtu.be/HOXzORhon6g?si=1hOqHjVJCW-Ssp-o
Post yangu imekugusa eh?Unahitaji uponyaji pepo la kukata watu vidole na kuchoma mali zetu likutoke. Pokea uponyaji:
View: https://www.instagram.com/reel/DeGg78nC1eL/?xtok=MXN4YmN6ZjRrZ2xjeg==
Tunajenga nyumba moja kaka hakuna haja ya kumbea fito. Waliokufa ni wenetu, waliokatwa vidole ni wenetu, waliokosa huduma ya mwendokasi kwa kuchomwa ni wenzetu pia na waliopoteza ajira zao kwa sheli, malori na ofisi zao kuchomwa ni ndugu zetu. Matukio yote haya tunapaswa kulaaniwa kwa usawa ili yote yasijirudie tena.Post yangu imekugusa eh?
Kwanza tii mamlaka mengine yatajipanga yenyewePunguza kejeli na kutaja suala vyama hasa linapokuja suala la uhai wa mwanadamu...
Hao unao washabikia na wanaokujaza kuna siku watakufikia pia.
Jali Utu, ubinadamu na uheshimu ndoto zilizopotea kwa maamuzi ya walio amua iwe vile ilivyokuwa
Jielekeze kwenye thread yako iliyoianzisha
Haya ndio wanayo yaweza na sio kuongoza nchi.Watatumia uwezo wao wote, akili yao yote na mbinu zao zote katika kufanikisha jambo lake hata kama iwe ni sherehe tu ya birthday ya mtoto.
Kwi Kwi KwiWanaume wamezidi ubabe, hawakubali kujishusha kwa maslahi ya wote, tabia ambayo inailetea hasara dunia yote.