Dunia inaomba marais wote wangekuwa wanawake, Tanzania tumeitangulia dunia

Wanaume wamezidi ubabe, hawakubali kujishusha kwa maslahi ya wote, tabia ambayo inailetea hasara dunia yote.

Wanaume hawaamini kama unaweza kumkosoa, kumuelekeza, kumfukuza au kumuagiza mtu bila kufokafoka kwanza.

Wanaume hawaamini kama unaweza kufanya jambo zuri la maendeleo bila mbwembwe, kujisifia sana mwenyewe na kusifiwa.

Wanawake ni kinyume chake, wanachohitaji wao ni matokeo mazuri tu basi. Wanaona aibu kwake kukiwa na hali mbaya kuliko kwa mwenzake kama yeye, kiongozi kama yeye, mzazi kama yeye, mzuri kama yeye. Hatamani kuharibu labda itokee bahati mbaya tu. Watatumia uwezo wao wote, akili yao yote na mbinu zao zote katika kufanikisha jambo lake hata kama iwe ni sherehe tu ya birthday ya mtoto. Hawapendi kutia aibu, hawavumilii aibu na hawapendi kusemwa vibaya.

Mwanamke Ni mwepesi kusamehe ili mambo yaende. Udhaifu wake ni kama ukimbeza, ukimdharau, kumdanganya, ukimtukana na kumpiga mbele za watu. Kama Akikukasirikia kwa mambo hayo ni vigumu kukusamehe.

Rais Obama nae ameliona hilo, hebu sikiliza taarifa hii.

View: https://youtu.be/HOXzORhon6g?si=1hOqHjVJCW-Ssp-o

Rais gani wa Tanzania ameuwa Watanganyika wengi kama huyu mwanamke?
 
Haya ndio wanayo yaweza na sio kuongoza nchi.
Kwakweli uwezo wao huu mkubwa wa kuvumilia maumivu na kusamehe ndio unaotumiwa vibaya na wahaini. Kama angekuwa Rais mwanaume hapa sasa hivi tungeshawasahau. Yaani mtu anaamuruhu watu wakatwe vidole vyao halafu yeye bado anavyo vidole vyake vyote na anadunda mitaani na kuendelea kutukana. Hakuna Rais mwanaume anaweza kuvumilia hayo.
 
Rais gani wa Tanzania ameuwa Watanganyika wengi kama huyu mwanamke?
Rais gani wa Tanzania alikutwa na tukio la kundi la waasi waliokata watu vidole waliokuwa wakitimiza haki yao ya Kikatiba ya kupiga kura, kuchoma vituo vya polisi, kupora silaha na sare za polisi, kuchoma ofisi za serikali za mitaa, sheli, mahakama, TRA, maduka, hospitali na mwendokasi nchi nzima akawavumilia?
 
Wanaume wamezidi ubabe, hawakubali kujishusha kwa maslahi ya wote, tabia ambayo inailetea hasara dunia yote.

Wanaume hawaamini kama unaweza kumkosoa, kumuelekeza, kumfukuza au kumuagiza mtu bila kufokafoka kwanza.

Wanaume hawaamini kama unaweza kufanya jambo zuri la maendeleo bila mbwembwe, kujisifia sana mwenyewe na kusifiwa.

Wanawake ni kinyume chake, wanachohitaji wao ni matokeo mazuri tu basi. Wanaona aibu kwake kukiwa na hali mbaya kuliko kwa mwenzake kama yeye, kiongozi kama yeye, mzazi kama yeye, mzuri kama yeye. Hatamani kuharibu labda itokee bahati mbaya tu. Watatumia uwezo wao wote, akili yao yote na mbinu zao zote katika kufanikisha jambo lake hata kama iwe ni sherehe tu ya birthday ya mtoto. Hawapendi kutia aibu, hawavumilii aibu na hawapendi kusemwa vibaya.

Mwanamke Ni mwepesi kusamehe ili mambo yaende. Udhaifu wake ni kama ukimbeza, ukimdharau, kumdanganya, ukimtukana na kumpiga mbele za watu. Kama Akikukasirikia kwa mambo hayo ni vigumu kukusamehe.

Rais Obama nae ameliona hilo, hebu sikiliza taarifa hii.

View: https://youtu.be/HOXzORhon6g?si=1hOqHjVJCW-Ssp-o

Akili yako iko kwenye makali😵na Malawi walipokuwa na Joyce Banda,ona uchaguzi wa Tanzania mwaka jana umechafua taswira ya Tanzania kabisaa.Sasa hivi Tanzania inalinganishwa na Burundi,DRC,Mali,Djibout,Somalia,Uganda,Sudan,Chad na Rwanda kwa sababu ya uwepo wa Delila Samiah.
 
Sijui Tanzania imechafuka wapi na nani anaiona imechafuka? Dalili za kuchafuka ni zipi?

Tanzania inasifiwa kwa kuzima mapinduzi na ugaidi kwa wakati mmoja. Nchi nyingi hata za ulaya zinatushangaa kuzima uasi na ugaidi kwa wakati mmoja na maisha yanaendelea vilevile kama vile hakuna kilichotokea.

Lissu aliwadanganya wazungu kuwa yeye na chadema ndiyo Tanzania yenyewe. Sasa wanashangaa kuona yeye yuko gerezani lakini watanzania wanasuribia dabi kwa furaha, matamasha kama kawaida, utalii kama kawaida, daladala kama kawaida, sokoni kama kawa; normal life as normal. Watanzania wana wasiwasi ya El nino lakini sio chadema na Lissu na Heche.

Mizizi ya umoja wetu imekwenda chini sana ardhini ambako imekuta unyevunyevu unaosababisha mmea usikauke hata wakati wa kiangazi kama kile cha oct29. Huwezi kuung'oa kirahisi.

Kama huamini kama hatukuchafuka hata kidogo anagalia wageni wa dunia wanaokuja Tz kwa sababu mbalimbali. Kama Tz imechafuka basi Marekani imechafuka mno kuliko sisi.
 
KUshangilia kuchomwa moto na kuharibiwa barabara za mwendokasi unazotumia wewe mwenyewe ni sana na kushangilia mkeo akibakwa na wavuta ndumu.
 
OCTOBA 29,2025
 
Kushangilia kutekekwa kwa Humphrey Polepole na Emmanuel Nchimbi wana ccm wenzio na waliowahi kuwa viongozi wakubwa nchini Tanzania huo ni upumbavu uliopitiliza.
 
KIla ufanyalo fikiria kwanza Katiba, sheria, usalama wa nchi, utamaduni na haki za wengine.
 
Katiba inaheshimu maoni ya kila raia wa Tanzania.Sasa kwa nini ccm inateka na kuua Watanganyika makusudi makusudi?
 
Kila unachofanya na kusema hakikisha kuwa umoja wa watanzania unabakia salama. Watanzania wana wasemaji wao kwa mujibu wa Katiba wanaowachagua wenyewe kuanzaia kwenye familia, kitongoji, kijiji, kata, jimboni na taifa. Usikurupuke na kudai unawasemea watanzania ambao hawajakutuma uwasemee. Hapo ndio shida yako itakapoanzia.
 
Back
Top Bottom