Tetesi: Dunia inasubiri Taarifa moja tu ya kutisha kutoka Russian federation

Tetesi: Dunia inasubiri Taarifa moja tu ya kutisha kutoka Russian federation

Kuna video moja inamuonesha Joe biden anahangaika kupanda ngazi za ndege yaani kajikwaa kama mara 3 na kuanguka huku ana tetemeka miguu na kuyumba yumba kwa kupigwa na upepo tu.
Yaani asife Biden anayeshindwa kupanda ngazi za ndege ndio aje kufa Putin?
 
washabiki wa Ukraine baada ya kutembelea kichapo kwenye uwanja wa vita,Vipi Mbona Media za Magharibi zilimuaminisha Ukraine kuwa akipewa silaha na Askari watamshinda Urusi,Mbona sasa wanaulizana silaha zao zinaishia wapi hawaoni impact.Sasa wewe chawa wa mabeberu ndo unakuja na theories dhaifu za west eti Afya ya Putin imeguswa,story ya Parkinson Disease wanahangaika nayo mwaka wa pili sasa Putin anaendelea kudunda,Mbona huongelei Afya ya Sleepy Biden Rais wa USA ambaye anapoteza kumbukumbu hadharani na kusalimia hewa?kwa taarifa yako,Shirika la Ujasusi la Russia(KGB) liko macho halilali,Marekani na West Europe wanashangaa tu na Putin Majuzi kawapiga Mkwara kwa kuzindua Intercontinental Balistic Missile,I stand with Russia,Go Putin Piga hao mabeberu
KGB ilivunjwa tangu 1991 kwa sasa kuna FSB
 
Nahao walofungia RT SPUT NIK nk
Wamefungia ili wawalishe matango pori namnayala kweli
Unaona hivyo ni vyombo vya habari? Vipo wapi kwingineko kama siyo kueneza propaganda za Putin?

Facebook na Youtube inatumiwa na watu wote duniani, haziendeshi propaganda, hata wewe unawezka unachoona. Iweje jambo hilo liogopwe na serikali ya Urusi ilhali hata wananchi wake wanaweka. Kuna Youtubers wa Urusi wanalalamika kukosa mapatao kwani walikuwa wanategema Youtube ambayo imefungwa.
 
Usilazimishe watu wasikie unachotaka waache watu watafte wanachotaka kukisikia
Wangetuachia wenyewe tunajua kipi chakusikia nakuona nakwawakati upi ila walofanya wao upuuzi tuu
Wengine tunapenda kuskiliza propaganda za RT watuache wasitulazimishe na huu ndio uhuru wamaoni mnaouhubiria huko kwenye demokrasia ambao leo mnaikiuka
Hamna hoja
 
Hujazukuzia kutazama vyombo hivyo, lakini hawaviruhusu kwenye channel za nchi zao kwa sababu ya vikwazo. Wewe tafuta unayependa propaganda za urusi fungua channel za urusi utazipata tu.
 
Putin kumuua mbona inaweza ikawa kazi rahisi tu kwanza anaweza kuuwawa hata na marafiki zake mwenyewe
Kwa sababu 90% ya marafiki zake ambao wengi ni matajiri. hawakubaliani na maamuzi yake ya kuivamia Ukraine. Kwa namna moja au nyingine kwa maamuzi ya kijinga ya putin imewaghalimu mno. Pili kwasasa putin ni jana la dunia.
 
Hakuna cha ww3,atawahiwa 👇

Screenshot_20220426-072141.png

Screenshot_20220426-071909.png
 
Nahao walofungia RT SPUT NIK nk
Wamefungia ili wawalishe matango pori namnayala kweli
kama wanaeza kumfungia media je huon udogo wa urusi , je unapata wap ujasiri wa kujiaminisha yasiyokuwepo
 
Anapolala Putin ni watu wachache sana wanapajua kwa sasa. Chakula chake pia kinaandaliwa mbali sana na ni dakika za mwisho waandaaji wanatajiwa Pa kukipeleka.
Sasa hayo ni maisha gani? Nilidhani yeye ni haogopi kitu na mbabe kweli kweli,kumbe kwenye uhai kila ndege hukuja mbawa zake
 
Back
Top Bottom