Tetesi: Dunia inasubiri Taarifa moja tu ya kutisha kutoka Russian federation

Tetesi: Dunia inasubiri Taarifa moja tu ya kutisha kutoka Russian federation

Anapolala Putin ni watu wachache sana wanapajua kwa sasa. Chakula chake pia kinaandaliwa mbali sana na ni dakika za mwisho waandaaji wanatajiwa Pa kukipeleka.
wanaotaja ndo wanaeza kuwa wahusika
 
Yaani wewe ndo bure kabisa,eti zinafika kesho? zote zitaishiwa kuwa destroyed as Russian Legitimate Target.Sasa hizo silaha alizopewa kujikinga ziko wapi mbona kuchezea kichapo ndo kunashika kasi?huko Mariupol Urusi ime-besiege Mji zaidi ya three weeks mbona hizo za kujikinga hazijasaidia? I stand with Putin chapa hao Vibaraka Raisi wa Ukraine kazi kuongea daily bila focus,leo anataka mazungumzo,kesho anaomba silaha, nadhani sasa huyo kibaraka Zelensiky a Comedian ndo anaona reality kuwa vita siyo filamu za hollywood.Go Russia! Putin piga vibaraka
ttzo kubwa lipo.kwenye ufahamu wako hisia zinakuongoza badala.ya uhalisia
 
Naona unafurahia Urusi kuivamia Ukraine na kuuwa raia wengi wasio na hatia vile, lakini elewa kuwa mpaka sasa hivi Urusi yenyewe imeshapoteza majenerali 7, makanali zaidi ya 17 (mmoja akiuwawa na askari wake mwenyewe waliokata tamaa), askari zaidi ya 23,000, mateka takriban 600, vifaru zaidi ya 680, Magari ya deraya takriban 2000, ndege za kivita zaidi ya 100 (ikawalazimu wasitumie mashambulizi ya ndege tena kwa vile zilikuwa zinaangushwa sana) na helicopter za kivita zaidi ya 250, na meli kubwa zaidi ya kivita ya Moscow imewalazimu kuhamisha meli zao zote kuzitoa mpakani na kuzipeleka mbali sana ndani ya bahari nyeusi. Hii meli ya Moscow ndiyo ilikuwa inarusha makombora ya masafa marefu ili kupiga ndani ya Ukraine. Ukraine ilipoteza ndege zake nyingi mwanzoni mwa vita ikiwemo na ile ndege ya Mriya kwa sababu ya kuvamiwa zikaharibiwa nyingi zikiwa airport kabla hazijaingia vitani.

Urusi wanafanya uharibifu wa aina ya vita ya kwanza ya dunia siyo vita ya kisasa, na wanauwa raia na kurabibu miundo mbinu zaidi ya kuuwa askari wa upinzani. Baada ya meli ya Moscow kuzamishwa, makambora ya masafa marefu yatakuwa machache, na sasa watapigana vita conventional ndipo uone udhaifu wa jeshi la urusi.

Western Media Zinakupoteza, Naona data zako unatoa The Kyiev Independent ! Unategemea wakwambie nini kingine zaidi ya hizo propaganda za upande mmoja ?

Kama Ukraine anachezea na jeshi lake lina retreat, unaweza vipi ku confirm hzo data ilihali miji mingi anazidi kuikalia Urusi, ao wakusanya data wamefika saa ngap kwnye territory aliokalia adui wakaconfirm hzo data kwa kuona hizo machines na fallen bodies ?

Western Medias are brainwashing you
 
Sawa sawa
20220412_000454.jpg


Sent from my using JamiiForums mobile app
 
Wengi uwenda hawato amini na uwenda wengi watafikiri ni uchawi ila jambo zito kutoka ndani ya Russia Federation lita iyacha dunia midomo wazi na vita kusimama.
Habari ambazo sio Rasmi upo uwezekani Kremlin ikapigwa na kitu kizito mpaka sasa ninavyo andika majasusi wa dunia wakiongozwa na Team hatari ya Mossad wapo ktk kazi nzito kuiyacha dunia ktk mtanzinko mkubwa na uwenda kuziacha serikali nyingi za ki imla kujiuliza maswali mara mbilimbili.
Nini hasa chanzo cha Taarifa hii na kwa nini sasa.
Vita Ya Ukraine ni vita ilikuwa ina julikana na idara za usalama za dunia zilijuwa.

Zipo tetesi mpango wao kumuondoa Putin haukufanikiwa japo zipo tetesi wamefanikiwa kumkata makali pamoja na kuigusa afya yake.

Jambo nchi za magharibi wanajuwa ni hakika kwa sasa ni Putin kutumia silaha za hatari za nyuklia kitisho hichi kina siri nzito sana na siri hii niuwenda Putin ameweza kupata top secret juu ya mpango wa nchi za magharibi na kuamua kama mbwai iwe mbwai tu. Nakama unavyo juwa ktk mambo yasiri nyeti kama hizi nilazima mwenye siri hiyo apotezwe au awapoteze.
Kiukweli kitisho cha nyukilia kina fanya mataifa kama marekani na washirika wake kutokulala nakutafuta mbinu zaku silence mission za Putin.

Mbaya kuliko yote nchi za magharibi wameamua kutumia intelligence yao kuhakikisha wana mpata mtu mmoja kuliko vita.
Hali kwa sasa ni ya hatari kwa maeneo yote ya magharibi midege yao wanaita Beast Hunters ipo tayari kwa plan B . If pla A ita faile hakuna njia ila kumuondoa Putin ktk kiti but silence mission with conspiracy. Hii ni mission ngumu hasa ukizingatia ndani ya Kremlin wanajuwa hili litatokea. Japo hawajuwi litatokeaje. Maana hizi taasisi za kijasusi wanazidiana maujanja na mpaka sasa uwenda jamaa wamesha muweka kwenye target zao.
Sisi team Putin wa kwa Mtogole bado tunaamini West na wanyangalika wenu mumeshikwa lubaya...hamuchomoki na Kyiv tushaiweka kibindoni mwendo mdundo.

Tukimalizana na Komediani tunaenda kuchukua Romania Belarus Estonia na Latvia. Nato wa kwa Mbiku Mukae kwa kutuliya.
 
Western Media Zinakupoteza, Naona data zako unatoa The Kyiev Independent ! Unategemea wakwambie nini kingine zaidi ya hizo propaganda za upande mmoja ?

Kama Ukraine anachezea na jeshi lake lina retreat, unaweza vipi ku confirm hzo data ilihali miji mingi anazidi kuikalia Urusi, ao wakusanya data wamefika saa ngap kwnye territory aliokalia adui wakaconfirm hzo data kwa kuona hizo machines na fallen bodies ?

Western Medias are brainwashing you
IHuenda wewe unasoma taarifa serikali ya urusi ambako wamezuia hata facebook na Youtube isifanye kazi kusudi watu wasipate ukweli. Kwa hali hiyo unasema hao majenerali wote hawakuuwawa, hivyo vifaru vinavyongua mitaani siyo vya urusi na hata hiyo meli iliyozama haikupigwa na Ukraine bali iliungua yenyewe tu lakini kwa usalama wa meli nyingine zisije kuungua peka yake ikabidi wazihamishie mbali na Ukraine.

Ninajua kuna waafrika ambao wana post-colonial mind ya kuchukia nchi za west kwa sababu za kihistoria tu, na hivyo kushabikia nchi ambazo zinaonekana kupingana na nchi za west, hata hivyo, elewa kuwa vita hiyo ni ya urusi kuivamia makusudi ukraine. Kama Urusi kweli ilikuwa inaogopa kuwa Ukraine italeta wamarekani karibu na mpaka wake, wangeishambulia Marekani moja kwa moja kule kwenye Bahari ya Berring kwani wanashea mpaka wa moja kwa moja ukitoka Alaska unaingia Urusi.

Huyu Putin ni bully tu, anaitaka sana ardhi ya Ukraine kwa sababu ya Black Sea, ndiyo maana haoni shida kuua raia wote wasioongea kirusi. Nia yake ilikuwa ni kuuteka mji wa Kiev haraka kuondoa serikali na kuweka ya kibaraka wake Viktor Yanukovych; kule akachezea kibano hadi akaamua kuondoka mwenyewe. Putin alianza kuisakama Ukraine baada ya kibaraka wake huyo kuondolewa na wanachi, kwani anataka vibaraka wake wawe viongozi wa maisha kama yeye na yule wa Belarus. Ni baada ya kibaraka huyo kuondolewa ndipo akaanza kwa kumega Crimea, na sasa anataka kumega sehemu ya Magharaibi ila lengo lilikuwa achukua Ukraine yote iwe sehemu ya urusi.
 
Waisraeli ni taifa teule kwani uongo?
Wameteuliwa kuchinja na kuuwa watu walio wapokea Kama wakimbizi,....waliamrishwa na mungu kuvamia taifa la watu na kuuwa Kila kitu na kuiita nchi ya ahadi.....story Kama hiz hata wangoni watajiita taifa teule from South Africa to songea and kantalamba,.....ko wao mungu kawateuwa kuwa Bora af mm na wew Ni pusy tu
 
Sasa kama siri hii umeijua wewe chinga sasa anashundwaje Putin kujua? Alafu usipate shida sana Israel hawataki kujiingiza kwenye huu mgogoro sema mnamforce ajiingize tu ila hataki ata kdg.

Usitishe watu hii vita ni kati ya Russia na U.S (Ukraine)

Sent using Jamii Forums mobile app
Unauhakika na hichi unasema?
 
Back
Top Bottom