Wengi uwenda hawato amini na uwenda wengi watafikiri ni uchawi ila jambo zito kutoka ndani ya Russia Federation lita iyacha dunia midomo wazi na vita kusimama.
Habari ambazo sio Rasmi upo uwezekani Kremlin ikapigwa na kitu kizito mpaka sasa ninavyo andika majasusi wa dunia wakiongozwa na Team hatari ya Mossad wapo ktk kazi nzito kuiyacha dunia ktk mtanzinko mkubwa na uwenda kuziacha serikali nyingi za ki imla kujiuliza maswali mara mbilimbili.
Nini hasa chanzo cha Taarifa hii na kwa nini sasa.
Vita Ya Ukraine ni vita ilikuwa ina julikana na idara za usalama za dunia zilijuwa.
Zipo tetesi mpango wao kumuondoa Putin haukufanikiwa japo zipo tetesi wamefanikiwa kumkata makali pamoja na kuigusa afya yake.
Jambo nchi za magharibi wanajuwa ni hakika kwa sasa ni Putin kutumia silaha za hatari za nyuklia kitisho hichi kina siri nzito sana na siri hii niuwenda Putin ameweza kupata top secret juu ya mpango wa nchi za magharibi na kuamua kama mbwai iwe mbwai tu. Nakama unavyo juwa ktk mambo yasiri nyeti kama hizi nilazima mwenye siri hiyo apotezwe au awapoteze.
Kiukweli kitisho cha nyukilia kina fanya mataifa kama marekani na washirika wake kutokulala nakutafuta mbinu zaku silence mission za Putin.
Mbaya kuliko yote nchi za magharibi wameamua kutumia intelligence yao kuhakikisha wana mpata mtu mmoja kuliko vita.
Hali kwa sasa ni ya hatari kwa maeneo yote ya magharibi midege yao wanaita Beast Hunters ipo tayari kwa plan B . If pla A ita faile hakuna njia ila kumuondoa Putin ktk kiti but silence mission with conspiracy. Hii ni mission ngumu hasa ukizingatia ndani ya Kremlin wanajuwa hili litatokea. Japo hawajuwi litatokeaje. Maana hizi taasisi za kijasusi wanazidiana maujanja na mpaka sasa uwenda jamaa wamesha muweka kwenye target zao.