Tetesi: Dunia inasubiri Taarifa moja tu ya kutisha kutoka Russian federation

Wengi uwenda hawato amini na uwenda wengi watafikiri ni uchawi ila jambo zito kutoka ndani ya Russia Federation lita iyacha dunia midomo wazi na vita kusimama.
Habari ambazo sio Rasmi upo uwezekani Kremlin ikapigwa na kitu kizito mpaka sasa ninavyo andika majasusi wa dunia wakiongozwa na Team hatari ya Mossad wapo ktk kazi nzito kuiyacha dunia ktk mtanzinko mkubwa na uwenda kuziacha serikali nyingi za ki imla kujiuliza maswali mara mbilimbili.
Nini hasa chanzo cha Taarifa hii na kwa nini sasa.
Vita Ya Ukraine ni vita ilikuwa ina julikana na idara za usalama za dunia zilijuwa.

Zipo tetesi mpango wao kumuondoa Putin haukufanikiwa japo zipo tetesi wamefanikiwa kumkata makali pamoja na kuigusa afya yake.

Jambo nchi za magharibi wanajuwa ni hakika kwa sasa ni Putin kutumia silaha za hatari za nyuklia kitisho hichi kina siri nzito sana na siri hii niuwenda Putin ameweza kupata top secret juu ya mpango wa nchi za magharibi na kuamua kama mbwai iwe mbwai tu. Nakama unavyo juwa ktk mambo yasiri nyeti kama hizi nilazima mwenye siri hiyo apotezwe au awapoteze.
Kiukweli kitisho cha nyukilia kina fanya mataifa kama marekani na washirika wake kutokulala nakutafuta mbinu zaku silence mission za Putin.

Mbaya kuliko yote nchi za magharibi wameamua kutumia intelligence yao kuhakikisha wana mpata mtu mmoja kuliko vita.
Hali kwa sasa ni ya hatari kwa maeneo yote ya magharibi midege yao wanaita Beast Hunters ipo tayari kwa plan B . If pla A ita faile hakuna njia ila kumuondoa Putin ktk kiti but silence mission with conspiracy. Hii ni mission ngumu hasa ukizingatia ndani ya Kremlin wanajuwa hili litatokea. Japo hawajuwi litatokeaje. Maana hizi taasisi za kijasusi wanazidiana maujanja na mpaka sasa uwenda jamaa wamesha muweka kwenye target zao.
Unaota? Osama hakuwa na Selikari, jeshi wala chanzo chochote cha mapato imewachukua miaka 12+ America na allies wao kusema wamemuua Osama. Putin ni Jasusi, Mkuu wa KGB mstaafu, Rais wa Russia, ana jeshi, ana nyuklia, ana Silaha sio za kununua ni kuchukua tu, unadhani itawachukua miaka mingapi kwa hawa script writers wa Washington kuandaa picha na matamshi ya kifo?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wengi uwenda hawato amini na uwenda wengi watafikiri ni uchawi ila jambo zito kutoka ndani ya Russia Federation lita iyacha dunia midomo wazi na vita kusimama.
Habari ambazo sio Rasmi upo uwezekani Kremlin ikapigwa na kitu kizito mpaka sasa ninavyo andika majasusi wa dunia wakiongozwa na Team hatari ya Mossad wapo ktk kazi nzito kuiyacha dunia ktk mtanzinko mkubwa na uwenda kuziacha serikali nyingi za ki imla kujiuliza maswali mara mbilimbili.
Nini hasa chanzo cha Taarifa hii na kwa nini sasa.
Vita Ya Ukraine ni vita ilikuwa ina julikana na idara za usalama za dunia zilijuwa.

Zipo tetesi mpango wao kumuondoa Putin haukufanikiwa japo zipo tetesi wamefanikiwa kumkata makali pamoja na kuigusa afya yake.

Jambo nchi za magharibi wanajuwa ni hakika kwa sasa ni Putin kutumia silaha za hatari za nyuklia kitisho hichi kina siri nzito sana na siri hii niuwenda Putin ameweza kupata top secret juu ya mpango wa nchi za magharibi na kuamua kama mbwai iwe mbwai tu. Nakama unavyo juwa ktk mambo yasiri nyeti kama hizi nilazima mwenye siri hiyo apotezwe au awapoteze.
Kiukweli kitisho cha nyukilia kina fanya mataifa kama marekani na washirika wake kutokulala nakutafuta mbinu zaku silence mission za Putin.

Mbaya kuliko yote nchi za magharibi wameamua kutumia intelligence yao kuhakikisha wana mpata mtu mmoja kuliko vita.
Hali kwa sasa ni ya hatari kwa maeneo yote ya magharibi midege yao wanaita Beast Hunters ipo tayari kwa plan B . If pla A ita faile hakuna njia ila kumuondoa Putin ktk kiti but silence mission with conspiracy. Hii ni mission ngumu hasa ukizingatia ndani ya Kremlin wanajuwa hili litatokea. Japo hawajuwi litatokeaje. Maana hizi taasisi za kijasusi wanazidiana maujanja na mpaka sasa uwenda jamaa wamesha muweka kwenye target zao.
Ungekua na vigor hivi kwenye mambo ya nchi yako tungekua mbali sana
 
Wewe nabii mwanasiasa unayesihi Tanga umeanza tena eeeh?

Thamani ya pesa ya Rubbles ya Urusi imepanda pamoja na kuwawekea vikwazo. Kila mmoja analia gharama za vitu kyupanda kisa mafuta na gesi za Urusi haziendi tena duniani!!!

Mwisho wa siku mtaiona Marekani ikigawanywa na mataifa saba kujitenga na kutumika na adui kumdhoofisha zaidi. Israel itaondolewa nguvu zake zote.

Ndipo taifa mnalolidharau litainuka kama dubu likipata uungaji mkono kutoka kwenye jeshi lenye nguvu ardhini kutokea huko Mashariki ya mbali na kati.

Kitakachoendelea usije ukauliza tena na kushabikia taifa moja wapo kati yanayopigana; jitahidi kujitenga kuunga mkono taifa lolote lenye nguvu linapokuwa linaonesha uwezo wake kijeshi, kiuchumi na kiteknolojia.
 
Acha propaganda na wewe. Ukraine huwa anapewa silaha za kujikinga tu, hajawi kupewa silaha za kushambulia kwa vile nchi za Magharibi zilikuwa haziamini kuwa Ukraine inaweza kushindana na Urusi. Bbaada ya kuona udhaifu wa Urusi ndiyo sasa wameanza kupeleka silaha za Mashambulizi ambazo zinategemewa kufika kesho, kwa hivyo mapambano halisi yataanza baada yapo.
Yaani wewe ndo bure kabisa,eti zinafika kesho? zote zitaishiwa kuwa destroyed as Russian Legitimate Target.Sasa hizo silaha alizopewa kujikinga ziko wapi mbona kuchezea kichapo ndo kunashika kasi?huko Mariupol Urusi ime-besiege Mji zaidi ya three weeks mbona hizo za kujikinga hazijasaidia? I stand with Putin chapa hao Vibaraka Raisi wa Ukraine kazi kuongea daily bila focus,leo anataka mazungumzo,kesho anaomba silaha, nadhani sasa huyo kibaraka Zelensiky a Comedian ndo anaona reality kuwa vita siyo filamu za hollywood.Go Russia! Putin piga vibaraka
 
Jamaa hua unanichekesha sana, ulitoa uzi mwingine kama huu mwez uliopita. Nadhani unapenda yatokee hayo, ila nataka nikuambie kitu kimoja, Russia ni taifa kubwa sana na lenye intelejensia kubwa mno pengine kuliko hayo unayoambiwa. Hizo kelele za Mossad, CIA, nk zisikutishe sana.. mwanzo walidhani wakimpa silaha Ukraine pamoja na vikwazo vikali urusi itaanguka, umeona yanayoendelea?? Poleni
 
Mkuu hiyo kitu ndio iliyomfanya Putin awachanganye kwa kuipiga Ukrain na kipigo kiwa changanye..Mission ilivyo kwenda kombo wakajikutana mmoja baada ya mwengine wanaenda kuangalia waliyo wekeza....
Nini kinafuata baada ya India kugeuza kibao!
China nae ataibuka na sauti ya Kinyango alie banwa na mlango---
 
Yaani wewe ndo bure kabisa,eti zinafika kesho? zote zitaishiwa kuwa destroyed as Russian Legitimate Target.Sasa hizo silaha alizopewa kujikinga ziko wapi mbona kuchezea kichapo ndo kunashika kasi?huko Mariupol Urusi ime-besiege Mji zaidi ya three weeks mbona hizo za kujikinga hazijasaidia? I stand with Putin chapa hao Vibaraka Raisi wa Ukraine kazi kuongea daily bila focus,leo anataka mazungumzo,kesho anaomba silaha, nadhani sasa huyo kibaraka Zelensiky a Comedian ndo anaona reality kuwa vita siyo filamu za hollywood.Go Russia! Putin piga vibaraka
Naona unafurahia Urusi kuivamia Ukraine na kuuwa raia wengi wasio na hatia vile, lakini elewa kuwa mpaka sasa hivi Urusi yenyewe imeshapoteza majenerali 7, makanali zaidi ya 17 (mmoja akiuwawa na askari wake mwenyewe waliokata tamaa), askari zaidi ya 23,000, mateka takriban 600, vifaru zaidi ya 680, Magari ya deraya takriban 2000, ndege za kivita zaidi ya 100 (ikawalazimu wasitumie mashambulizi ya ndege tena kwa vile zilikuwa zinaangushwa sana) na helicopter za kivita zaidi ya 250, na meli kubwa zaidi ya kivita ya Moscow imewalazimu kuhamisha meli zao zote kuzitoa mpakani na kuzipeleka mbali sana ndani ya bahari nyeusi. Hii meli ya Moscow ndiyo ilikuwa inarusha makombora ya masafa marefu ili kupiga ndani ya Ukraine. Ukraine ilipoteza ndege zake nyingi mwanzoni mwa vita ikiwemo na ile ndege ya Mriya kwa sababu ya kuvamiwa zikaharibiwa nyingi zikiwa airport kabla hazijaingia vitani.

Urusi wanafanya uharibifu wa aina ya vita ya kwanza ya dunia siyo vita ya kisasa, na wanauwa raia na kurabibu miundo mbinu zaidi ya kuuwa askari wa upinzani. Baada ya meli ya Moscow kuzamishwa, makambora ya masafa marefu yatakuwa machache, na sasa watapigana vita conventional ndipo uone udhaifu wa jeshi la urusi.
 
Back
Top Bottom