Memtata
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 587
- 1,863
Kwa imani yako upo sahihi lakini usiwalazimishe wasioamini unachokiamini mtabishana hadi mwisho bila muafaka kupatikanaWaisraeli ni taifa teule kwani uongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa imani yako upo sahihi lakini usiwalazimishe wasioamini unachokiamini mtabishana hadi mwisho bila muafaka kupatikanaWaisraeli ni taifa teule kwani uongo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41]Duh hakika Tz iliwahi kua no. 1 kwa upelelezi Duniani.
Aisee intelligence ya wabongo iko juu sana Sema ndo ivoAnapolala Putin ni watu wachache sana wanapajua kwa sasa. Chakula chake pia kinaandaliwa mbali sana na ni dakika za mwisho waandaaji wanatajiwa Pa kukipeleka.
Angekua Putin wa Chato hapo sawaTunasubiri kwa hamu na tunawaombea wafanikiwe
Fanyeni masihara ila wanacho fanya mabeberu wa ulaya na America ni bomu linalosubiri kulipika,na ujinga huu ukiendelea tunaweza ingia wwwIIINakunukuu
"kitisho hichi kina siri nzito sana na siri hii niuwenda Putin ameweza kupata top secret juu ya mpango wa nchi za magharibi na kuamua kama mbwai iwe mbwai tu".

Asilimia kubwa ya wana usalama wengi ni washirikina na wasoma NyotaAnapolala Putin ni watu wachache sana wanapajua kwa sasa. Chakula chake pia kinaandaliwa mbali sana na ni dakika za mwisho waandaaji wanatajiwa Pa kukipeleka.
Wanaye mchunguza ndo jasusi nguli so tafuta sababu nyingineWengi uwenda hawato amini na uwenda wengi watafikiri ni uchawi ila jambo zito kutoka ndani ya Russia Federation lita iyacha dunia midomo wazi na vita kusimama.
Habari ambazo sio Rasmi upo uwezekani Kremlin ikapigwa na kitu kizito mpaka sasa ninavyo andika majasusi wa dunia wakiongozwa na Team hatari ya Mossad wapo ktk kazi nzito kuiyacha dunia ktk mtanzinko mkubwa na uwenda kuziacha serikali nyingi za ki imla kujiuliza maswali mara mbilimbili.
Nini hasa chanzo cha Taarifa hii na kwa nini sasa.
Vita Ya Ukraine ni vita ilikuwa ina julikana na idara za usalama za dunia zilijuwa.
Zipo tetesi mpango wao kumuondoa Putin haukufanikiwa japo zipo tetesi wamefanikiwa kumkata makali pamoja na kuigusa afya yake.
Jambo nchi za magharibi wanajuwa ni hakika kwa sasa ni Putin kutumia silaha za hatari za nyuklia kitisho hichi kina siri nzito sana na siri hii niuwenda Putin ameweza kupata top secret juu ya mpango wa nchi za magharibi na kuamua kama mbwai iwe mbwai tu. Nakama unavyo juwa ktk mambo yasiri nyeti kama hizi nilazima mwenye siri hiyo apotezwe au awapoteze.
Kiukweli kitisho cha nyukilia kina fanya mataifa kama marekani na washirika wake kutokulala nakutafuta mbinu zaku silence mission za Putin.
Mbaya kuliko yote nchi za magharibi wameamua kutumia intelligence yao kuhakikisha wana mpata mtu mmoja kuliko vita.
Hali kwa sasa ni ya hatari kwa maeneo yote ya magharibi midege yao wanaita Beast Hunters ipo tayari kwa plan B . If pla A ita faile hakuna njia ila kumuondoa Putin ktk kiti but silence mission with conspiracy. Hii ni mission ngumu hasa ukizingatia ndani ya Kremlin wanajuwa hili litatokea. Japo hawajuwi litatokeaje. Maana hizi taasisi za kijasusi wanazidiana maujanja na mpaka sasa uwenda jamaa wamesha muweka kwenye target zao.
Anaogopa nini huyo Mzee ?Anapolala Putin ni watu wachache sana wanapajua kwa sasa. Chakula chake pia kinaandaliwa mbali sana na ni dakika za mwisho waandaaji wanatajiwa Pa kukipeleka.
Acha utahira wako kujifanya unajua kuliko waliokuwepo huko,we kula ugali wako wa maharagwe ukafie mbele.Wengi uwenda hawato amini na uwenda wengi watafikiri ni uchawi ila jambo zito kutoka ndani ya Russia Federation lita iyacha dunia midomo wazi na vita kusimama.
Habari ambazo sio Rasmi upo uwezekani Kremlin ikapigwa na kitu kizito mpaka sasa ninavyo andika majasusi wa dunia wakiongozwa na Team hatari ya Mossad wapo ktk kazi nzito kuiyacha dunia ktk mtanzinko mkubwa na uwenda kuziacha serikali nyingi za ki imla kujiuliza maswali mara mbilimbili.
Nini hasa chanzo cha Taarifa hii na kwa nini sasa.
Vita Ya Ukraine ni vita ilikuwa ina julikana na idara za usalama za dunia zilijuwa.
Zipo tetesi mpango wao kumuondoa Putin haukufanikiwa japo zipo tetesi wamefanikiwa kumkata makali pamoja na kuigusa afya yake.
Jambo nchi za magharibi wanajuwa ni hakika kwa sasa ni Putin kutumia silaha za hatari za nyuklia kitisho hichi kina siri nzito sana na siri hii niuwenda Putin ameweza kupata top secret juu ya mpango wa nchi za magharibi na kuamua kama mbwai iwe mbwai tu. Nakama unavyo juwa ktk mambo yasiri nyeti kama hizi nilazima mwenye siri hiyo apotezwe au awapoteze.
Kiukweli kitisho cha nyukilia kina fanya mataifa kama marekani na washirika wake kutokulala nakutafuta mbinu zaku silence mission za Putin.
Mbaya kuliko yote nchi za magharibi wameamua kutumia intelligence yao kuhakikisha wana mpata mtu mmoja kuliko vita.
Hali kwa sasa ni ya hatari kwa maeneo yote ya magharibi midege yao wanaita Beast Hunters ipo tayari kwa plan B . If pla A ita faile hakuna njia ila kumuondoa Putin ktk kiti but silence mission with conspiracy. Hii ni mission ngumu hasa ukizingatia ndani ya Kremlin wanajuwa hili litatokea. Japo hawajuwi litatokeaje. Maana hizi taasisi za kijasusi wanazidiana maujanja na mpaka sasa uwenda jamaa wamesha muweka kwenye target zao.
Kwani kuna ubaya akichangia huu uzi ?...Wewe umejua lkn wao wenyewe hawajui. Lea watoto wako mama, umeolewa ili ulee hao watoto na si kushinda mitandaoni.
Tuwekee na sisi chanzo cha hii habari.Kuna taarifa zimezagaa jiji la Petersburg Urusi kuwa Putin kafariki dunia
Humu kinachotangulizwa ni 'unazi' zaidi. Facts si priority tena!Yaani ili jukwaa halina uwalisia kama majukwaa mengine lime kuwa jukwaa la wachambuzi wa michongo yaani hipo hivi humu kuna wamarekani wa kibongo nawarusi wa kibongo nakazia wanaotetea serikali za kibepari na na wanaotetea serikali za kijama . Sasa jukwaa linakuwa halina habari za uwakika . Kwa ufupi nachukia sana maana kama mimi sinaushabiki wa ujamaaa wa wala ubepari