Binadamu ni kiumbe anaeishi Kwa Sheria na moja wapo ya Sheria zake ni pamoja na kuwa na kiongozi, popote penye mkuasnyiko wa binadamu lazima wapate kiongozi wao
Hata kusanyiko dogo zaidi la watu wawili lazima mmoja awe anamwongoza au kumzidi angalau kidogo mwenzie hapo ndo kusanyiko litadumu vinginevyo kama wote ni viongozi basi watatawanyika hii ni pamoja na ndoa japo si mada yangu Kwa leo
Pamoja na mataifa kuwepo mengi duniani yenye nguvu na ushawishi lkn Kwa Sasa kiongozi wao ni marekani japo Rasia na China au North Korea wanafurukutafurukuta lkn bado kiongozi wao tunamjua
Hivi karibuni baada ya kutangazwa kwa rais mteule Bw Dolnad Trump Dunia nzima zikiwepo sehemu zenye migogoro zinakautulivu fulani wakisubiri mfalme wao,imekuwa bayana Putin anasubiri kwa hamu sera za Tramp kuelekea mashariki ya ulaya hasa vita yake na Ukraine ipatiwe ufumbuzi kwani njia yake ya ubabe inapitia wakati mgumu baada ya kukutana na upinzani mkali toka Kwa jeshi la Ukraine likisaidiwa silaha na nchi za mgaharibi na mashariki chini ya uongozi shupavu wa Mzayuni Zelensk
China na Taiwan pia kumekuwa na mgogolo lkn siku za karibuni china imepunguza harakati zake za kijeshi kuzunguka kisiwa hicho huku ikisubiri ujio wa mfalme wa Dunia
Irani inapitia kipindi kigumu baada ya kumtibua myahudi wanamgambo wake wa Syria,lebanoni na Gaza wamechakazwa wale Wahouth wanaendelea kuuota moto hatima yake itajulikana hv karibuni
Biblia kupitia kitabu cha ufunuo sura ya 13 ilitabiri bayana ujio na ubabe wataifa la Marekani Kwa Dunia na kwamba marekani mwisho wa utawaka wake litamuasi Mungu wa Ibrahim na ndo utakuwa mwisho wake na mwisho wa Dunia lkn hii ni mada ya siku nyingine
Tuombe Mungu maamuzi ya tramp yawe na kheri upatiknane utulivu tupige kazi tumechoka na vita na umwagikaji damu huko mashariki ya kati na Dunia nzima