Dunia inautulivu fulani kabla mfalme wake mpya kuingia madarakani mnamo Januari 20, 2025

MBYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2020
Posts
366
Reaction score
521
Binadamu ni kiumbe anaeishi Kwa Sheria na moja wapo ya Sheria zake ni pamoja na kuwa na kiongozi, popote penye mkuasnyiko wa binadamu lazima wapate kiongozi wao

Hata kusanyiko dogo zaidi la watu wawili lazima mmoja awe anamwongoza au kumzidi angalau kidogo mwenzie hapo ndo kusanyiko litadumu vinginevyo kama wote ni viongozi basi watatawanyika hii ni pamoja na ndoa japo si mada yangu Kwa leo

Pamoja na mataifa kuwepo mengi duniani yenye nguvu na ushawishi lkn Kwa Sasa kiongozi wao ni marekani japo Rasia na China au North Korea wanafurukutafurukuta lkn bado kiongozi wao tunamjua

Hivi karibuni baada ya kutangazwa kwa rais mteule Bw Dolnad Trump Dunia nzima zikiwepo sehemu zenye migogoro zinakautulivu fulani wakisubiri mfalme wao,imekuwa bayana Putin anasubiri kwa hamu sera za Tramp kuelekea mashariki ya ulaya hasa vita yake na Ukraine ipatiwe ufumbuzi kwani njia yake ya ubabe inapitia wakati mgumu baada ya kukutana na upinzani mkali toka Kwa jeshi la Ukraine likisaidiwa silaha na nchi za mgaharibi na mashariki chini ya uongozi shupavu wa Mzayuni Zelensk

China na Taiwan pia kumekuwa na mgogolo lkn siku za karibuni china imepunguza harakati zake za kijeshi kuzunguka kisiwa hicho huku ikisubiri ujio wa mfalme wa Dunia

Irani inapitia kipindi kigumu baada ya kumtibua myahudi wanamgambo wake wa Syria,lebanoni na Gaza wamechakazwa wale Wahouth wanaendelea kuuota moto hatima yake itajulikana hv karibuni

Biblia kupitia kitabu cha ufunuo sura ya 13 ilitabiri bayana ujio na ubabe wataifa la Marekani Kwa Dunia na kwamba marekani mwisho wa utawaka wake litamuasi Mungu wa Ibrahim na ndo utakuwa mwisho wake na mwisho wa Dunia lkn hii ni mada ya siku nyingine

Tuombe Mungu maamuzi ya tramp yawe na kheri upatiknane utulivu tupige kazi tumechoka na vita na umwagikaji damu huko mashariki ya kati na Dunia nzima
 
mkuu, lete hilo somo la UFUNUO WA YOHANA 13.
 
Wengine tumemiss vita kubwa kubwa hapa bora uingie
 
ISIS affiliates wameua watu 15 huko New Orleans kwa kutumia pickup kwenye sherehe za mwaka mpya.

Watu kumi wamepigwa risasi Queens New York.

Dunia gani hiyo unayosema ina utulivu? Unafuatilia habari?
 
Matukio madogo madogo bado yapo hayawezi kwisha lkn Ile iliyokuwa inatishia Dunia kuibuka Kwa vita ya tatu ya ulimwengu imetulia kidogo mkuu

Kama unaweza kusoma kasome hiki kitabu, utajua hujui.

"The Return of Great Powers: Russia, China, and the Next World War"
Book by Jim Sciutto
 
Je?umesahau mfalme wakazikni aliyetajwa kwenye maandiko unahisi nitaifa gani kwasasa
 
Mfalme wa kaskazini Kwa Sasa ni Rumi ya kiroho
 
Kama imetabiriwa Kuna haja gani ya kuomba Ili kiwe na mwisho mwema. Kama ipo kwenye biblia takribani miaka 2000 imepita sasa maombi Yako yatafaa nn?
 
Tunaomba uwepesi upatikane,japo Kuna majaribu lkn Bado biblia inataka tuombe kuepukana na majaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…