George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Bradha...Acha maneno wewe George, hivi jabs za Wladimir Klitschko unazifahamu?
Mzungu ameshakalishwaBradha...
Hili pambano ni gumu sana...
Huyu MMATUMBI mwenzetu leo amekutana na kimbembe..!
Yap..!Mzungu ameshakalishwa
Wapo kama huyu mchambuzi black amesuka bingwa WA WBC anaitwa Wilder nae ni shidaa...Huyu Joshua sijui atapigwa na bondia gani sasa..!!?