Dunia kusimama kuelekea mpambano wa kukata na shoka kati ya Anthony Joshua na Wladimir Klitschko

Dunia kusimama kuelekea mpambano wa kukata na shoka kati ya Anthony Joshua na Wladimir Klitschko

Kwa hakika ameirudisha heavyweight division kwenye matawi ya juu. Haya ndiyo mambo ambayo walikuwa wanayamisi. Leo AJ amejifunza mengi toka kwa Doctor Steelhammer. Ile uppercut (ngumi ya kidevu) raundi ya 11 ilimaliza mchezo.
Ni moja ya mapambano ya kihistoria litakaloingia kwenye rekodi za ngumi za uzani wa juu.
 
Ingawa Joshua ameshinda lakini ameonyesha weakness yake Leo..
Ikishafika kuanzia round ya 6 pumzi zake huwa zinakata..

Kilichomsaidia kitendo chake cha kubite time ili arudi Kwenye mchezo.

...Pia kitendo chake cha kuongeza uzito sana leo kilimfanya asiwe mwepesi na ndio maana akachoka haraka...
Kama atakutana na Kijana mwenzio mwenye speed na pumzi basi atakalishwa.

Kama akijirekebisha mapungufu yake basi atakuwa something special on this Boxing game!.
 
Back
Top Bottom