Dunia ni uwanja wa vita za hatima

Tuandalie huo ushuhuda wako ili nasisi tuweze kujifunza kupitia wewe, najua humu kuna watu wengi wa nuruni ambao wamekwama kwenye eneo fulani ila hawajui namna ya kutoka huko so kupitia wewe kuna mtu atapata suluhu.
 
Kuna mpuuzi mmoja alikua walifanya hiyo mchezo na mama yake kuchukua karama yangu sema Nabii alienda kwenye chanzo akaniombea na kuirudisha na akasema hakuna tena mamlaka itakayoinuka.
Je yule jamaa atabaki kama alivyo? Mimi niliomba afilisike arudi kwenye viwango vyake..!

watu wajinga jinga sana.
 
Tuandalie huo ushuhuda wako ili nasisi tuweze kujifunza kupitia wewe, najua humu kuna watu wengi wa nuruni ambao wamekwama kwenye eneo fulani ila hawajui namna ya kutoka huko so kupitia wewe kuna mtu atapata suluhu.
Yes ila Mbele ya safari mambo yatakapokua sasa kwenye mstari(manifestation) na yale yote yaliyotabiriwa.

maana sahizi nipo kwenye process na kufata mambo ya uchaji wa kiMungu(maombi e.tc)
 
Kwa namna hiyo hawezi kuendelea kupata pesa kupitia hiyo biashara kwa maana ile nyota iliyokuwa inatumika kuwaingizia pesa imerudi kwa mwenyewe.

Wapo watu wengi ambao wanapitia changamoto za namna hiyo, unakuta mwanzo ulikua unakuja vizuri tu, kwa maana Kila jambo unalolipanga linatimia ila ghafla baada ya muda ukaona mambo yanaenda ndivyo sivyo... Hawa ndio tunasema miaka yao fulani fulani imeshikiliwa kwa maana inatumikishwa somewhere huku wao wakiwa hawana habari.
 
Yes ila Mbele ya safari mambo yatakapokua sasa kwenye mstari(manifestation) na yale yote yaliyotabiriwa.

maana sahizi nipo kwenye process na kufata mambo ya uchaji wa kiMungu(maombi e.tc)
Kila la heri mkuu.
 
Aiseeh Mkuu umefungua wengi sana kwa hii Uzi wako Umeekezea Vitu ambavyo ni DEEP sana! hatujaja duniani kuteseka..!
Mtu unateseka huko kumbe kuna watu wenye roho mbaya wanacheza na karama yako!

Uzi wako Umeniongezea ELIMU kubwa sana ya kiroho.!

Unajua vizur sana mambo ya Rohoni. Hongera sana
 
Tuendelee kujifunza mkuu, Dunia ina mengi sana ya sirini.
 
Kiongozi mwendelezo vipi? Na mbona hujibu email wala namba uliyoiweka kwenye kitabu chako cha kwanza haipatiniki kabisa whatsapp!?
Muendelezo utakuja na kuhusu emails huwa tunajitajidi kuzijibu, pia Whatsapp inapatikana hiyo namba coz zipo msg zinazofika huko na zinajibiwa... Jaribu kuzihakiki.
 
Muendelezo utakuja na kuhusu emails huwa tunajitajidi kuzijibu, pia Whatsapp inapatikana hiyo namba coz zipo msg zinazofika huko na zinajibiwa... Jaribu kuzihakiki.
Umeandika uzi mzuri Sana hongera Sana .
 
mkuu kitabu cha pili cha vipawa vya hatima unaipost lini humu au kuna namna nyingine ya kupata kitabu cha pili..pia naomba kama unaweza kutuwekea link ya kupata PDF
Utakipata humu humu mkuu, nitawawekea.
 
Tuendelee kujifunza mkuu, Dunia ina mengi sana ya sirini.
Hakika my inner voice ilikuwa sahihi kuhusu ww
unakitu adimu ndani yako ambacho wachache wanacho
Kumbe sikukosea kukuuliza yale maswali
 
Hakika my inner voice ilikuwa sahihi kuhusu ww
unakitu adimu ndani yako ambacho wachache wanacho
Kumbe sikukosea kukuuliza yale maswali
Asante healer mwenzangu😅😅... Ndio maana nilihisi unanifahamu aisee.
 
Hahaha eti healer sina lolote
Ila mwenzangu inaonekana unafahamu mengi zaidi umeamshwa
Kitambo
Najitahidi kuiskiliza sauti ya ndani yangu but wewe uko na maono, am sure ukiamua kufocus zaidi kuna level ambayo si ya kawaida utaifikia.... Endelea kufanya meditation ili focus iongezeke, kuna nguvu ya ajabu sana kwenye meditation.
 
Meditation sijui inaanzia wapi🤣🤣🤣Ninahitaji elimu kutoka kwako serious na ninamaswali kibao yananiandama kifupi nipo njia panda
 
Meditation sijui inaanzia wapi🤣🤣🤣Ninahitaji elimu kutoka kwako serious na ninamaswali kibao yananiandama kifupi nipo njia panda
Niko naandaa huo Uzi wa meditation so nitaushare... Maswali uliza tu Healer na nitajitahidi kuyajibu kwa kadri nitakavyo elewa na yale ambayo yatakosa majibu basi tutazidi kuyatafutia ufumbuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…