Dunia ni uwanja wa vita za hatima

Dunia ni uwanja wa vita za hatima

NB; Njia ya Nuruni haitaki mchezo mchezo ni kufanya maombi na kuwa na uchaji wa kiMungu rohoni.
Kuna mambo mtu unatakiwa kuacha kabisa mfano tangu Nilivoijua hatma yangu Kubwa( Kumiliki mali, utajiri) Unaachana kabisa na mambo ya dhambi ( uzinzi, ulevi, - Japo situmii kilevi chochote tangu kuzaliwa na uzinzi sio tabia yangu e.t.c) Aiseeh yaani kuna namna fulani Mungu ana ku structure ili uje upokee.

Sasa ndo nakumbuka kipindi hicho kuna mtumishi mmoja anaona/maono nikamwambia kuwa Mimi Situmii kilevi chochote Tangu kuzaliwa na mambo ya wanawake sipo Akatoa kauli moja kuwa Ulikua Unaandaliwa..!

Nb; Akanambia utaenda kukalia kiti, naona Wazungu wengi sana watakupenda na kukufikisha mbali sana, Safari zako nyingi sana zitakua za Ndege unawahi (hii hata Nabii yule alinambia), Utafika ulaya Sana, utafungua makampuni, utamiliki. magari, mashamba, viwanja, majumba e.t.c

Mbele ya Safari nitakuja kuleta Uzi jinsi Mungu akikusudia ufanikiwe.

Jamani Nimekutana na vita mimi vikubwa sema tu vingine siwezi sema.

UZI WAKO UMENILENGA KWA 100% KWA KINACHOENDELEA.
Tuandalie huo ushuhuda wako ili nasisi tuweze kujifunza kupitia wewe, najua humu kuna watu wengi wa nuruni ambao wamekwama kwenye eneo fulani ila hawajui namna ya kutoka huko so kupitia wewe kuna mtu atapata suluhu.
 
Kuna namna nyingi za kutumia hatima ya mtu au watu wengine.

Kuna mtu anajijua yeye biashara fulani si biashara ya hatima yake lakini anajua wapo vijana ambao hiyo biashara inafungamana na wao ila wanashindwa kufanikiwa kwakua hawana mitaji basi anaamua kuwekeza kwa hao vijana, kwahiyo mtu wa namna hii anatumia hatima za watu wengine kufanikiwa.

Kuna wengine wanajijua hatima zao hazipo kwenye biashara fulani ila baada kwenda kwa wataalam wa kiroho upande wa giza wanawachekechea na kuwaonesha watu ambao wanafungamana na hiyo biashara katika familia zao basi wana wanyang'anya hizo hatima kimazingala na kuzitumia na hapa huwa kunakua na possibility kadhaa, moja kujaribu mkumcontrol muhusika ili asiwe anacheza mbali na eneo la biashara husika kwahiyo anaweza akapunguzwa akili kidogo, na pili wakiona uwezekano huo hautaleta matunda wanamnyang'anya uhai, lakini pia mtu anaweza akatumikishwa kama mfanya kazi kwa kuzubaishwa kwa maana hata Kila atakapo waza kutaka kuondoka anajikuta haoni option.

Na mafanikio yote yanayokuja kwa njia hizo huwa hayadumu na ni ngumu kurithisha vizazi vingine isipokua hiyo ya kutengeneza mfumo kwa kuajiri watu wenye hatima na kuwalipa mishahara au kuwekeza kwa watu wenye hatima huku ukiendelea kupata asilimia zako kulingana na makubalinao.
Kuna mpuuzi mmoja alikua walifanya hiyo mchezo na mama yake kuchukua karama yangu sema Nabii alienda kwenye chanzo akaniombea na kuirudisha na akasema hakuna tena mamlaka itakayoinuka.
Je yule jamaa atabaki kama alivyo? Mimi niliomba afilisike arudi kwenye viwango vyake..!

watu wajinga jinga sana.
 
Tuandalie huo ushuhuda wako ili nasisi tuweze kujifunza kupitia wewe, najua humu kuna watu wengi wa nuruni ambao wamekwama kwenye eneo fulani ila hawajui namna ya kutoka huko so kupitia wewe kuna mtu atapata suluhu.
Yes ila Mbele ya safari mambo yatakapokua sasa kwenye mstari(manifestation) na yale yote yaliyotabiriwa.

maana sahizi nipo kwenye process na kufata mambo ya uchaji wa kiMungu(maombi e.tc)
 
Kuna mpuuzi mmoja alikua walifanya hiyo mchezo na mama yake kuchukua karama yangu sema Nabii alienda kwenye chanzo akaniombea na kuirudisha na akasema hakuna tena mamlaka itakayoinuka.
Je yule jamaa atabaki kama alivyo? Mimi niliomba afilisike arudi kwenye viwango vyake..!

watu wajinga jinga sana.
Kwa namna hiyo hawezi kuendelea kupata pesa kupitia hiyo biashara kwa maana ile nyota iliyokuwa inatumika kuwaingizia pesa imerudi kwa mwenyewe.

Wapo watu wengi ambao wanapitia changamoto za namna hiyo, unakuta mwanzo ulikua unakuja vizuri tu, kwa maana Kila jambo unalolipanga linatimia ila ghafla baada ya muda ukaona mambo yanaenda ndivyo sivyo... Hawa ndio tunasema miaka yao fulani fulani imeshikiliwa kwa maana inatumikishwa somewhere huku wao wakiwa hawana habari.
 
Yes ila Mbele ya safari mambo yatakapokua sasa kwenye mstari(manifestation) na yale yote yaliyotabiriwa.

maana sahizi nipo kwenye process na kufata mambo ya uchaji wa kiMungu(maombi e.tc)
Kila la heri mkuu.
 
Kwa namna hiyo hawezi kuendelea kupata pesa kupitia hiyo biashara kwa maana ile nyota iliyokuwa inatumika kuwaingizia pesa imerudi kwa mwenyewe.

Wapo watu wengi ambao wanapitia changamoto za namna hiyo, unakuta mwanzo ulikua unakuja vizuri tu, kwa maana Kila jambo unalolipanga linatimia ila ghafla baada ya muda ukaona mambo yanaenda ndivyo sivyo... Hawa ndio tunasema miaka yao fulani fulani imeshikiliwa kwa maana inatumikishwa somewhere huku wao wakiwa hawana habari.
Aiseeh Mkuu umefungua wengi sana kwa hii Uzi wako Umeekezea Vitu ambavyo ni DEEP sana! hatujaja duniani kuteseka..!
Mtu unateseka huko kumbe kuna watu wenye roho mbaya wanacheza na karama yako!

Uzi wako Umeniongezea ELIMU kubwa sana ya kiroho.!

Unajua vizur sana mambo ya Rohoni. Hongera sana
 
Tuendelee kujifunza mkuu, Dunia ina mengi sana ya sirini.
 
Kiongozi mwendelezo vipi? Na mbona hujibu email wala namba uliyoiweka kwenye kitabu chako cha kwanza haipatiniki kabisa whatsapp!?
Muendelezo utakuja na kuhusu emails huwa tunajitajidi kuzijibu, pia Whatsapp inapatikana hiyo namba coz zipo msg zinazofika huko na zinajibiwa... Jaribu kuzihakiki.
 
Muendelezo utakuja na kuhusu emails huwa tunajitajidi kuzijibu, pia Whatsapp inapatikana hiyo namba coz zipo msg zinazofika huko na zinajibiwa... Jaribu kuzihakiki.
Umeandika uzi mzuri Sana hongera Sana .
 
mkuu kitabu cha pili cha vipawa vya hatima unaipost lini humu au kuna namna nyingine ya kupata kitabu cha pili..pia naomba kama unaweza kutuwekea link ya kupata PDF
Utakipata humu humu mkuu, nitawawekea.
 
Tuendelee kujifunza mkuu, Dunia ina mengi sana ya sirini.
Hakika my inner voice ilikuwa sahihi kuhusu ww
unakitu adimu ndani yako ambacho wachache wanacho
Kumbe sikukosea kukuuliza yale maswali
 
Hakika my inner voice ilikuwa sahihi kuhusu ww
unakitu adimu ndani yako ambacho wachache wanacho
Kumbe sikukosea kukuuliza yale maswali
Asante healer mwenzangu😅😅... Ndio maana nilihisi unanifahamu aisee.
 
Hahaha eti healer sina lolote
Ila mwenzangu inaonekana unafahamu mengi zaidi umeamshwa
Kitambo
Najitahidi kuiskiliza sauti ya ndani yangu but wewe uko na maono, am sure ukiamua kufocus zaidi kuna level ambayo si ya kawaida utaifikia.... Endelea kufanya meditation ili focus iongezeke, kuna nguvu ya ajabu sana kwenye meditation.
 
Meditation sijui inaanzia wapi🤣🤣🤣Ninahitaji elimu kutoka kwako serious na ninamaswali kibao yananiandama kifupi nipo njia panda
 
Meditation sijui inaanzia wapi🤣🤣🤣Ninahitaji elimu kutoka kwako serious na ninamaswali kibao yananiandama kifupi nipo njia panda
Niko naandaa huo Uzi wa meditation so nitaushare... Maswali uliza tu Healer na nitajitahidi kuyajibu kwa kadri nitakavyo elewa na yale ambayo yatakosa majibu basi tutazidi kuyatafutia ufumbuzi.
 
Back
Top Bottom