NB; Njia ya Nuruni haitaki mchezo mchezo ni kufanya maombi na kuwa na uchaji wa kiMungu rohoni.
Kuna mambo mtu unatakiwa kuacha kabisa mfano tangu Nilivoijua hatma yangu Kubwa( Kumiliki mali, utajiri) Unaachana kabisa na mambo ya dhambi ( uzinzi, ulevi, - Japo situmii kilevi chochote tangu kuzaliwa na uzinzi sio tabia yangu e.t.c) Aiseeh yaani kuna namna fulani Mungu ana ku structure ili uje upokee.
Sasa ndo nakumbuka kipindi hicho kuna mtumishi mmoja anaona/maono nikamwambia kuwa Mimi Situmii kilevi chochote Tangu kuzaliwa na mambo ya wanawake sipo Akatoa kauli moja kuwa Ulikua Unaandaliwa..!
Nb; Akanambia utaenda kukalia kiti, naona Wazungu wengi sana watakupenda na kukufikisha mbali sana, Safari zako nyingi sana zitakua za Ndege unawahi (hii hata Nabii yule alinambia), Utafika ulaya Sana, utafungua makampuni, utamiliki. magari, mashamba, viwanja, majumba e.t.c
Mbele ya Safari nitakuja kuleta Uzi jinsi Mungu akikusudia ufanikiwe.
Jamani Nimekutana na vita mimi vikubwa sema tu vingine siwezi sema.
UZI WAKO UMENILENGA KWA 100% KWA KINACHOENDELEA.