Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hata mimi nimeona ni vema nikaungana na Dunia yote kumtakia heri hiyo Mtu huyu, tunu ya Taifa na Mwamba wa siasa za kisasa barani Afrika.
Tajiri/Bilionea aliyeamua kutumia Utajiri wake wa halali kupigania haki za Masikini wa Tanzania waliopachikwa Jina la kudhalilisha la Wanyonge na Watawala.
Tofauti na Matajiri wengi wa Tanzania walioupata Utajiri kwenye siasa, yeye alipata Utajiri wake Nje ya Siasa lakini ameamua kuutumia kukomboa wananchi walioporwa kila kitu na wenye madaraka.