Dunia nzima yamtakia kheri ya siku ya kuzaliwa Freeman Mbowe

Hata mimi nimeona ni vema nikaungana na Dunia yote kumtakia heri hiyo Mtu huyu, Tunu ya Taifa na Mwamba wa siasa za kisasa barani Afrika.

Tajiri/Bilionea aliyeamua kutumia Utajiri wake wa Halali kupigania haki za Masikini wa Tanzania waliopachikwa Jina la kudhalilisha la Wanyonge na Watawala.

Tofauti na Matajiri wengi wa Tanzania walioupata Utajiri kwenye siasa, Yeye alipata Utajiri wake Nje ya Siasa lakini ameamua kuutumia kukomboa wananchi walioporwa kila kitu na wenye madaraka.

View attachment 3095656
Happy birthday Mbowe
 
sasa huyu naye nani anafanyaga nini ili iweje i hate you??
 
Erythrocyte hivi unakuwaje chadema chama ambayo inanuksi hawashindi hata kwa dakika wai mie nimeagaga huko wakati lowasa kakosa urais nilichoka na presha
 
Hata mimi nimeona ni vema nikaungana na Dunia yote kumtakia heri hiyo Mtu huyu, tunu ya Taifa na Mwamba wa siasa za kisasa barani Afrika.

Tajiri/Bilionea aliyeamua kutumia Utajiri wake wa halali kupigania haki za Masikini wa Tanzania waliopachikwa Jina la kudhalilisha la Wanyonge na Watawala.

Tofauti na Matajiri wengi wa Tanzania walioupata Utajiri kwenye siasa, yeye alipata Utajiri wake Nje ya Siasa lakini ameamua kuutumia kukomboa wananchi walioporwa kila kitu na wenye madaraka.

View attachment 3095656
Freeman hakuzaliwa siku ya Uhuru wa Tanganyika kweli?
 
Hata mimi nimeona ni vema nikaungana na Dunia yote kumtakia heri hiyo Mtu huyu, tunu ya Taifa na Mwamba wa siasa za kisasa barani Afrika.

Tajiri/Bilionea aliyeamua kutumia Utajiri wake wa halali kupigania haki za Masikini wa Tanzania waliopachikwa Jina la kudhalilisha la Wanyonge na Watawala.

Tofauti na Matajiri wengi wa Tanzania walioupata Utajiri kwenye siasa, yeye alipata Utajiri wake Nje ya Siasa lakini ameamua kuutumia kukomboa wananchi walioporwa kila kitu na wenye madaraka.

View attachment 3095656
Mbowe ubarikiwe na udumu zaidi CHADEMA kwani tunakuhitaji zaidi leo kuliko jana!
 
Hata mimi nimeona ni vema nikaungana na Dunia yote kumtakia heri hiyo Mtu huyu, tunu ya Taifa na Mwamba wa siasa za kisasa barani Afrika.

Tajiri/Bilionea aliyeamua kutumia Utajiri wake wa halali kupigania haki za Masikini wa Tanzania waliopachikwa Jina la kudhalilisha la Wanyonge na Watawala.

Tofauti na Matajiri wengi wa Tanzania walioupata Utajiri kwenye siasa, yeye alipata Utajiri wake Nje ya Siasa lakini ameamua kuutumia kukomboa wananchi walioporwa kila kitu na wenye madaraka.

View attachment 3095656
Delusions
 
Kwa hiyo jamaa anapaka super black au sio!!?

Back
Top Bottom