Dunia nzima yamtakia kheri ya siku ya kuzaliwa Freeman Mbowe

Dunia nzima yamtakia kheri ya siku ya kuzaliwa Freeman Mbowe

Hbdy Mbowe mezaliwa meanza sikia jina lako till today bado uko kwenye siasa ww ni mfano wa kuigwa na vijana wengi sana umewapa platiform vijana wengi sana wengine wakaja kukusaliti kwa sababu ya njaa ndo siasa ilivyo ila uliwasemehe na mambo yakaendelea kama kawaida ukistaaafu utupe kitabu ya maisha yako from childhood to retirement.
Nani kakwambia Mbowe ana mpango wa kustaafu?!! Unadhani atauacha mradi wa saccos yake kwa nani?
 
Happy birthday mwamba wa siasa za upinzani Mbowe
 
Kutokuwa na njaa haimaanishi utoshelevu achana na uchawa hakuna tajiri chawa
Wewe utakuwa hanithi haiwezekani mwanaume unaamka asubuhi mpaka unapolala unamsifia mwanaume mwenzako achana na uchawa kuwa huru kifikra.

Tunapowapiga vita machawa wa mama haitakiwi tuwasahau machawa wa mbowe
 
CCM watasema utajiri wake umechangiwa na Ruzuku
 
Wewe utakuwa hanithi haiwezekani mwanaume unaamka asubuhi mpaka unapolala unamsifia mwanaume mwenzako achana na uchawa kuwa huru kifikra.

Tunapowapiga vita machawa wa mama haitakiwi tuwasahau machawa wa mbowe
Mbona umejiquote na kujitukana Mkuu, angalia tena reply
 
Siku kuzaliwa Samia ilisherehekewa kwa watu kupanda miti nchi nzima

Ya Mbowe inasherehekewa kwa kunywa Ma bapa ya konyagi
 
Amuachie chama lema yeye imetosha lema ni mwanafalsafa wa kisasa kama injinia elisi.
 
Dunia nzima, wanabubujikwa na machozi ya furaha, Kwa ajili ya hiyo birthday, bila shaka hata Mwalimu Nyerere Baba yake wa ubatizo anafurahi huko aliko, maana alimweleza mzee Aikael huyu muhesabu kwenye familia ya julias mtoe uchagani, ,
 
Hata mimi nimeona ni vema nikaungana na Dunia yote kumtakia heri hiyo Mtu huyu, tunu ya Taifa na Mwamba wa siasa za kisasa barani Afrika.

Tajiri/Bilionea aliyeamua kutumia Utajiri wake wa halali kupigania haki za Masikini wa Tanzania waliopachikwa Jina la kudhalilisha la Wanyonge na Watawala.

Tofauti na Matajiri wengi wa Tanzania walioupata Utajiri kwenye siasa, yeye alipata Utajiri wake Nje ya Siasa lakini ameamua kuutumia kukomboa wananchi walioporwa kila kitu na wenye madaraka.

View attachment 3095656
HBD Chairman,

zawadi ya vinywaji kwa ajili yake vinapokelewa wap? :BRUHMM:
 
Happy Birthday Mbowe. Huyu ni muungwana sana, hata Dr Nchimbi analijua hilo, CCM impe ushirikiano waijenge Tanzania.
 
Back
Top Bottom