Dunia nzima yamtakia kheri ya siku ya kuzaliwa Freeman Mbowe

Hata mimi nimeona ni vema nikaungana na Dunia yote kumtakia heri hiyo Mtu huyu, tunu ya Taifa na Mwamba wa siasa za kisasa barani Afrika.

Tajiri/Bilionea aliyeamua kutumia Utajiri wake wa halali kupigania haki za Masikini wa Tanzania waliopachikwa Jina la kudhalilisha la Wanyonge na Watawala.

Tofauti na Matajiri wengi wa Tanzania walioupata Utajiri kwenye siasa, yeye alipata Utajiri wake Nje ya Siasa lakini ameamua kuutumia kukomboa wananchi walioporwa kila kitu na wenye madaraka.

View attachment 3095656
Dunia nzima? Hizi bhange sasa
 
wewe nawe ni chawa tu hamna lolote kwanz hakuna tajir anaetoa hela zake kuweka kukomboa watu haipo kweny falsafa za kitajir. Msifie ila umezidisha chumvi bhn yaan tukatae uchaw wa CCM alafu huku tuvumilie?
 
Hahaha hayaaa! Eti dunia nzima. Labda dunia ya chadomo
 
Hata mimi nimeona ni vema nikaungana na Dunia yote kumtakia heri hiyo Mtu huyu, tunu ya Taifa na Mwamba wa siasa za kisasa barani Afrika.

Tajiri/Bilionea aliyeamua kutumia Utajiri wake wa halali kupigania haki za Masikini wa Tanzania waliopachikwa Jina la kudhalilisha la Wanyonge na Watawala.

Tofauti na Matajiri wengi wa Tanzania walioupata Utajiri kwenye siasa, yeye alipata Utajiri wake Nje ya Siasa lakini ameamua kuutumia kukomboa wananchi walioporwa kila kitu na wenye madaraka.

View attachment 3095656
HBD waziri mkuu mtarajiwa.
 
Hbd mwenyekiti wetu wa kudumu
 
Back
Top Bottom