Dunia nzima yamtakia kheri ya siku ya kuzaliwa Freeman Mbowe

Happy birthday Mbowe
 
sasa huyu naye nani anafanyaga nini ili iweje i hate you??
 
Erythrocyte hivi unakuwaje chadema chama ambayo inanuksi hawashindi hata kwa dakika wai mie nimeagaga huko wakati lowasa kakosa urais nilichoka na presha
 
Freeman hakuzaliwa siku ya Uhuru wa Tanganyika kweli?
 
Mbowe ubarikiwe na udumu zaidi CHADEMA kwani tunakuhitaji zaidi leo kuliko jana!
 
Delusions
 
Kwa hiyo jamaa anapaka super black au sio!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…