Dunia nzima yamtakia kheri ya siku ya kuzaliwa Freeman Mbowe

Nani kakwambia Mbowe ana mpango wa kustaafu?!! Unadhani atauacha mradi wa saccos yake kwa nani?
 
Happy birthday mwamba wa siasa za upinzani Mbowe
 
Hawa machawa inabidi waambie Kwa lugha ngumu maana lugha laini hawaelewi
Nishakuonya mara kadhaa, hakuna tajiri anayeweza kuwa chawa, sikumbuki mwaka niliowahi kuwa na njaa
 
Kutokuwa na njaa haimaanishi utoshelevu achana na uchawa hakuna tajiri chawa
Wewe utakuwa hanithi haiwezekani mwanaume unaamka asubuhi mpaka unapolala unamsifia mwanaume mwenzako achana na uchawa kuwa huru kifikra.

Tunapowapiga vita machawa wa mama haitakiwi tuwasahau machawa wa mbowe
 
CCM watasema utajiri wake umechangiwa na Ruzuku
 
Wewe utakuwa hanithi haiwezekani mwanaume unaamka asubuhi mpaka unapolala unamsifia mwanaume mwenzako achana na uchawa kuwa huru kifikra.

Tunapowapiga vita machawa wa mama haitakiwi tuwasahau machawa wa mbowe
Mbona umejiquote na kujitukana Mkuu, angalia tena reply
 
Siku kuzaliwa Samia ilisherehekewa kwa watu kupanda miti nchi nzima

Ya Mbowe inasherehekewa kwa kunywa Ma bapa ya konyagi
 
Amuachie chama lema yeye imetosha lema ni mwanafalsafa wa kisasa kama injinia elisi.
 
Dunia nzima, wanabubujikwa na machozi ya furaha, Kwa ajili ya hiyo birthday, bila shaka hata Mwalimu Nyerere Baba yake wa ubatizo anafurahi huko aliko, maana alimweleza mzee Aikael huyu muhesabu kwenye familia ya julias mtoe uchagani, ,
 
HBD Chairman,

zawadi ya vinywaji kwa ajili yake vinapokelewa wap?
 
Happy Birthday Mbowe. Huyu ni muungwana sana, hata Dr Nchimbi analijua hilo, CCM impe ushirikiano waijenge Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…