Dunia nzima? Hizi bhange sasaHata mimi nimeona ni vema nikaungana na Dunia yote kumtakia heri hiyo Mtu huyu, tunu ya Taifa na Mwamba wa siasa za kisasa barani Afrika.
Tajiri/Bilionea aliyeamua kutumia Utajiri wake wa halali kupigania haki za Masikini wa Tanzania waliopachikwa Jina la kudhalilisha la Wanyonge na Watawala.
Tofauti na Matajiri wengi wa Tanzania walioupata Utajiri kwenye siasa, yeye alipata Utajiri wake Nje ya Siasa lakini ameamua kuutumia kukomboa wananchi walioporwa kila kitu na wenye madaraka.
View attachment 3095656
Bangi ni dawaDunia nzima? Hizi bhange sasa
BABAKO amezeeka lakini anaendelea kufyatua watoto kwa mamako na NYUMBA ndogo lakini humshangai π πAmezeeka apumzike sasa
HBD waziri mkuu mtarajiwa.Hata mimi nimeona ni vema nikaungana na Dunia yote kumtakia heri hiyo Mtu huyu, tunu ya Taifa na Mwamba wa siasa za kisasa barani Afrika.
Tajiri/Bilionea aliyeamua kutumia Utajiri wake wa halali kupigania haki za Masikini wa Tanzania waliopachikwa Jina la kudhalilisha la Wanyonge na Watawala.
Tofauti na Matajiri wengi wa Tanzania walioupata Utajiri kwenye siasa, yeye alipata Utajiri wake Nje ya Siasa lakini ameamua kuutumia kukomboa wananchi walioporwa kila kitu na wenye madaraka.
View attachment 3095656
Dunia nzima,????π€π€!
Hbd mwenyekiti wetu wa kudumuHata mimi nimeona ni vema nikaungana na Dunia yote kumtakia heri hiyo Mtu huyu, tunu ya Taifa na Mwamba wa siasa za kisasa barani Afrika.