Dunia ya leo ni mwendo wa haki sawa na kukomoana

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
Kwa dunia ya leo ya miaka ya hivi karibuni, wanawake vitu vingi wanafanya kama wanavyofanya fanya wanaume.

Wanawake wengi siku hizi wanafanya vitu vingi kwa ajili ya kuwakomoa wanaume

Unakuta mwanaume kachepuka na mwanamke naye anataka kuchepuka

Hata kazi pia kuna kazi zingine ni za kiume lakini wanawake wanazifanya. Ni vitu vichache sana ambavyo wanaume wamewazidi wanawake.

Ni tofauti sana na miaka ya nyuma, wanawake walikuwa na heshima na adabu. Vitu vingi walikuwa hawavijui, miaka ya leo wanawake wamekuwa na ujuaji mwingi.

Kwa hiyo kwa miaka inayokuja kwa wanawake na wanaume itakuwa ni ngoma draw
 
Kuna demu mmoja ana lishepu hiloo

nilimuona anaendeaha semi yaani tabu tupu road anasababisha jam ya malori mengine nyuma ngoma inamsumbua gear kinoma😬😬
 
Back
Top Bottom