Dunia ya sasa hauwezi kutafuta haki, hakuna haki bali ni janja janja za kisiasa

Dunia ya sasa hauwezi kutafuta haki, hakuna haki bali ni janja janja za kisiasa

Tanganian

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2025
Posts
7,464
Reaction score
12,564
Niwasalimu watu wa ukumbi huu,

Kwanza niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu ,hapa nataka kuongelea kuhusu kitu kinaitwa ''haki''. Je ,dunia ya leo kuna haki na watu wanaweza kudai haki.

Kabla ya yote tutambua neno haki lina maana pana sana ,unaweza kusema ''ni kitu chochote / jambo lolote mtu anastahili kupata..Sasa tuje kwa ulimwengu wa sasa watu wanaweza kudai haki ,unadai vipi haki na wewe hautendi haki? Unapodai haki zao je unaweza kuvunja haki za wengine.

Nipende kusisitiza siku zote hata ukijifanya mtu wa dini ila ndani ya nafsi na Mungu anajua wewe unafanya haki au maigizo..Hii ina maana kwa sisi waislamu hata swala yako haiwezi kukubaliwa kama unafanya mambo ya hovyo kizani...Tukiendelea kwenye mada ,ni kwamba kwa sasa dunia imechafuka sana mpaka haki imekuwa kama shubiri ; si viongozi wala wananchi wote hovyo kwenye kutenda haki.

Nitarejea sana katika kudai haki ya kinafiki : unajua nn kuna jamaa nilimuona amahamasisha maandamano na kuposti sana status za kudai haki ..Nyuma ya pazia huku jamaa mwaka ,2022 tu hapo alinitapeli pesa zangu kama laki 4 hivi na baadaye tuligombana kabisa mpka nikaona kesi .
.Oktoba 29 unaambiwa alikuwa mbele kudai haki😅😅bahati nzuri jamaa hajafa ila kavunja mguu nimeshukuru sana .

Wengine ni hawa wajinga wanaoharibu mali za watu eti kudai haki ,hivi yule sodox96 na shabaroba wa Instagram hao vijana wanahusika nn na hayo mambo yenu ya siasa ? Mbona sasa mmeharibu biashara zao ambao ni haki yao? Kiufupi kile kipigo ni karma ya Mungu kwa sababu ni wajinga ,level ya chini vijana wa TANZANIA ni wahuni hata umkopeshe pesa harudishi halafu huyu anataka kudai haki kisa kuchochewa na wahuni.

Tuangalie kundi hili ambao lina mlengo wa kidini katika kudai haki .Je ,wao wanatenda haki kimamilifu kulingana kama viongozi wa dini..Hao jamaa wanakusanya sadaka pesa ndefu halafu wanaenda kujenga sehemu za kutoa huduma za jamii bahati mbaya hizo sehemu sio huduma za jamii bali ni biashara..Leo muumini anachangia ila hizo shule hawezi kukosa kisa kukosa ada 😅👉akiumwa anashindwa gharama ya matibabu kisa hana kitu..

Lengo za kazi zote za kidini ni devotion ( kujitolea ) sio biashara basi hapo hamtendi haki katika kumuendea Mungu na mlengo wa kidini.. Kawaida ya maisha ukiwa mnafiki lazima majibu yake uyapate ,leo unatumia kivuli cha dini kuuunga mkono maovu au kuhamasisha maovu...Ni nan anajijua leo yuko upande sahihi kwa 100% ziadi ni ngojera za kisiasa kila mtu anajioana ana haki.

Sasa nyie mlitaka kufanya mapinduzi ,yemefeli mlizamiwa kufanya mapinduzi ni kucheza mpira? Badala mtulie basi mnaleta hoja hazina maana : ooh wasanii wametukwamisha ,ooh waislamu wametukwamisha na mliingia mkaona mziki wenyewe.

Kiufupi ,hakuwa upande wa haki basi karma akatembea na nyie watu wajinga sana..Kama mnamuombea eti afe ndio adhabu basi waliokufa nao walishapata adhabu kwa sababu ya uovu wenu..Leo unawezaje kudai haki katika mifupo ya kutapeli ya dunia nzima: watu sio waaminifu dhulma kila kona.
 
Basi wacha kiumane tu
VITA VITOKEE
TUSHIKE MITUTU
TUTWANGANE TU
DUNIA UWANJA WA FUJO
 
Je, kuandamana ni kosa kisheria?

Kuandamana ni kufanya mapinduzi?

Waliuawa wote walikuwa wale waluoenda kuharibu biashara za watu?

Na unadhani waandamanaji wote walikwenda kuharibu biashara za watu?
 
Hakuna ulichoongea cha maana hapa, ila umesukumwa na chuki za mdeni wako, ulivyoona kaambatana na waandamanaji basi chuk zote ukawaungia. Basi tuseme waandamanaj walisitahr kupgwa risasi.
 
HIKI KIZAZI TUSIPOKIPAMBANIA KUKUELIMISHA KITASHINDWA KU- HANDLE MAISHA
 
Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 27
Je, kuandamana ni kosa kisheria?

Kuandamana ni kufanya mapinduzi?

Waliuawa wote walikuwa wale waluoenda kuharibu biashara za watu?

Na unadhani waandamanaji wote walikwenda kuharibu biashara za watu?
Akili zako kama wale Phd za kukusanya sadaka ,kuchoma miundombinu ndio maandamano nioneshe kwenye katiba?

Nioneshe kibali cha maandamano au uliona wapi kuchoma vituo vya kura ikawa ni maandamano...Kaa pembeni yale sio maandamano.Ukitaka kucomment tumia akili sio makalio.
 
Hakuna ulichoongea cha maana hapa, ila umesukumwa na chuki za mdeni wako, ulivyoona kaambatana na waandamanaji basi chuk zote ukawaungia. Basi tuseme waandamanaj walisitahr kupgwa risasi.
Tapeli kafie mbele ,mmekufua ndio adhabu yenu kenge nyie.
 
Akili zako kama wale Phd za kukusanya sadaka ,kuchoma miundombinu ndio maandamano nioneshe kwenye katiba?

Nioneshe kibali cha maandamano au uliona wapi kuchoma vituo vya kura ikawa ni maandamano...Kaa pembeni yale sio maandamano.Ukitaka kucomment tumia akili sio makalio.
Haya mliwaua wale waluoenda kuchoma biashara za watu pamoja na vituo vya kura, kwa nini mliwafuata wengine majumbani mwao mkawaua?

Siku nyingine ukitaka kuleta Uzi hapa toa kinyeo chako kwenye uume wa Abduli na ufute/uoshe hilo kundu vizuri ili Uzi usinuke mavi.
 
Wezi hao yale sio maandamano kwanza kubali ,ukiendelea kuongea huu ujinga nakuona kama fala...Yale sio maandamano acha kuleta uhuru za kizamani...Kama kidume sio shoga basi Kaandamane hata kesho tuone😄😄 mwendo wa kichapo tu .
 
Haya, wale waliofuatwa nyumbani wakapigwa risasi nao ni wezi?
 
Haya, wale waliofuatwa nyumbani wakapigwa risasi nao ni wezi?
Walifuatwa wapi ? Vitu cya kutunga unakazania 😅😅tarehe 09 Dec walifuatwa nyumbani...Ukianzisha ugomvi usikimbie hakuna aliyefuatwa zaidi ya porojo mnafanya vurugu hata mkimbie wapi mnatafuatwa labda kuw wakimbizi wa kisiasa...Unaweza kusema ulikuwepo zaidi ya porojo ambazo kadri siku zinavyoenda zinapungua.
 
DIGITAL WORLD: OPPORTUNITIES AND RISKS
I SHALL EXPLAIN

When you watch a video from an artist, like Diamond, for example, it usually lasts around 3-6 minutes. However, in reality, you might end up spending more time than that — anywhere from one day to a whole week — especially if you're in a specific location or involved in something that takes time, without any emergencies.

But, there's a problem: some people, after watching a 3-6 minute video, want to replicate the same experience in real life. This is where they can get into trouble because they violate the principle of "embracing the process, not just the outcome."

Why do I say this?

Look at historical examples, like the protests in places such as Nepal and Madagascar. Young people would spend 3-10 minutes watching videos on YouTube about the protests. However, what they didn’t realize is that the real protesters, the ones actually fighting, were involved in long processes. They didn’t just show up and expect immediate results — they were backed by solid information and the support of strong military forces. The result? Few deaths and a much more organized movement.

Now, in Tanzania, we see a few youth who want to fight for a cause and prevent others from making the same mistakes. They skip the process and only focus on the outcome. This leads them to make the same errors as the young people in Nepal and Madagascar. They forget that the protests there had a backup plan, proper information, and the military strength to sustain them.

In essence, today’s digital generation often doesn't understand the effort required behind big achievements. When they see something online, they think it’s easy to achieve the same thing. They forget that making a movie, for example, takes a full year to plan, while the result might only be 2-3 hours of content.

This is the tragedy of our generation — we focus too much on the end result, without appreciating the process that leads to success.
 
Walifuatwa wapi ? Vitu cya kutunga unakazania 😅😅tarehe 09 Dec walifuatwa nyumbani...Ukianzisha ugomvi usikimbie hakuna aliyefuatwa zaidi ya porojo mnafanya vurugu hata mkimbie wapi mnatafuatwa labda kuw wakimbizi wa kisiasa...Unaweza kusema ulikuwepo zaidi ya porojo ambazo kadri siku zinavyoenda zinapungua.
Kama hili nalo uanlibishia basi sawa. Siwezi kuingiza ukweli kwa nguvu kwenye akili yako.
 
Kama hili nalo uanlibishia basi sawa. Siwezi kuingiza ukweli kwa nguvu kwenye akili yako.
Hakuna ukweli acha porojo 👉 mmeshindwa vibaya ..Mlianza kusema eti Rais atapinduliwa huko makanisani ,kiko wapi? Pambaneni watu wa hovyo nyie.
 
Mweka mada yupo sahihi japo maelezo yake baadhi yameelekezwa kihisia zaidi..!

kauli ni moja tu "Huwa hakuna uhuru ama haki ya asilimia mia moja!".
Hii ni kwenye kuanzia kwenye vitu tunavyoviweza na tusivyoviweza, lakini tukiangazia haki na uongozi huwa inagaiwa kutokana na kiwango cha ufahamu kwa wale unaowaongoza.

Kimsingi hata nchi tunazoona zenye demokrasia kushinda nchi zetu bado utakuta kuna watu wanalalamika misingi ya haki kukanyagwa!.
aidha kiuchumi,jamii fulani ama namna yoyote tu.. ipo waziwazi hata leo tunafahamu matukio kadhaa huko US yakibaguzi yamekuwa yakipigiwa kelele ndo hatua zinachukuliwa!.

swala nyeti sana ni pale kuja kumfikisha mtu kwenye haki ya asilimia zote ni ngumu sana hapo labda kwa kuziongeza tu maana ukiweza kumpa mtu haki zote ipo siku ataomba na haki yakutokuongozwa!.
sasa hapo itakuwa amefikia hatua yakutokuongozwa au lah!, maswala yanayotokea kwenye nchi yetu ni alert kwa viongozi kubadilika hivyo wanatakiwa kuwa mbele ya watu wanaowaongoza ili muwe mnafanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi, shida watu wanaongoza kama tupo miaka 30 nyuma!.

Tukizubaa rwanda anaenda kuwa thinker tank mmoja mkubwa sana kwenye huu ukanda wetu, kitendo cha kuzuia mfumuko mwingi wa maswala ya dini anaitaka jamii yake ikae katika mtizamo fulani na sio tu kukaa kiimani imani!..
Haki ni ngumu maana hata wanaemlilia mmarekani kuwa awape haki wapo wanaomlilia mmarekani kwa kuwaibia mali zao!..😅
 
Back
Top Bottom