Dunia ya sasa inaelekea wapi? kwanini watu wanakufa sana?

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu.

Wengi wa Wanaokufa ni watu wenye nguvu bado,
Dunia ya leo je inaelekea mwisho?

Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio mengine?
je ule mwisho u karibu?
 
Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu.

Dunia ya leo je inaelekea mwisho? Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio mengine?
je ule mwisho u karibu?
Kuna dunia uliwahi kuishi ukakuta watu hawafi sana? Kuna dunia moja tuu na hakuna ya kulinganisha na wewe hujawahi kuishi wakati mwingine zaidi ya huu.
 
Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu.

Wengi wa Wanaokufa ni watu wenye nguvu bado,
Dunia ya leo je inaelekea mwisho? Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio mengine?
je ule mwisho u karibu?
Lifestyle ya sasa....magonjwa mapya na ya ghafla, Depression, ajali n.k
 
zamani walikuwa wanakufa wazazi wanawaacha watoto ila siku hizi wanakufa watoto wanaacha wazazi,
Siku hizi magonjwa ya lifestyle yanaondoa watu haraka. Pestcides na synthetic chemicals kwenye vyakula tunavyokula, vinywaji tunavyokunywa kuanzia juice zilizosindikwa, energy drinks na pombe zenye sumu (mnaita visungura).

Kiujumla hatupo safe kama enzi za nyuma ambapo mtu alikuwa anakula vitu organic kuanzia mboga na tunda alilochuma shambani kwake lililorutubishwa kwa samadi, kuku anamkimbiza shambani na hata akinywa pombe ni kangara inayotengenezwa na asali au mbege ya ulezi na ndizi n.k.

Siku hizi ndizi mbichi inaivishwa ndani ya nusu saa tu, apple ili iongezewe shelf life inachomwa sindano, kuku anakuwa nadni ya week mbili aliwe. Mtu anakula ration kubwa ya chakula lakini hizo calories hazihitaji. Mtu akiamka anaoga anapanda garini anaingia ofisini anaagiza chapati na supu asubuhi, mchana wali jaa mchuzi juu, jioni anaingia garini tena anarudi nyumbani anaagiza kitimoto na ugali na bapa ya konyagi.

Unategemea nini hapo kama sio vifo vya ghafla tu!!?
 
tumekwisha haki
 
Unataka watu wasife, unayo ardhi ya kuwapa waishi wote?

Itoshe kusema umeguswa na vifo vya wapendwa wako, lakini kiuhalisia kundi la watu 100 hamuwezi kuishi kwa miaka 30 mfululizo bila 7 kusepa kwa baba.
 
Ni kweli kutwa magari yanasepa na kijiji...Kila siku naona post za misiba kweny status za watu.
 
Pole saana,

Itakuwa Una umri wa makamo, kwenye mtelemko wa 40 kuelekea 50,

Yaani haikatizi week umesikia msiba. It feels awkward.
 
Siku hizi magonjwa ya lifestyle yanaondoa watu haraka. Pestcides na synthetic chemicals kwenye vyakula tunavyokula, vinywaji tunavyokunywa kuanzia juice zilizosindikwa, energy drinks na pombe zenye sumu (mnaita visungura).

Kiujumla hatupo safe kama enzi za nyuma ambapo mtu alikuwa anakula vitu organic kuanzia mboga na tunda alilochuma shambani kwake lililorutubishwa kwa samadi, kuku anamkimbiza shambani na hata akinywa pombe ni kangara inayotengenezwa na asali au mbege ya ulezi na ndizi n.k.

Siku hizi ndizi mbichi inaivishwa ndani ya nusu saa tu, apple ili iongezewe shelf life inachomwa sindano, kuku anakuwa nadni ya week mbili aliwe. Mtu anakula ration kubwa ya chakula lakini hizo calories hazihitaji. Mtu akiamka anaoga anapanda garini anaingia ofisini anaagiza chapati na supu asubuhi, mchana wali jaa mchuzi juu, jioni anaingia garini tena anarudi nyumbani anaagiza kitimoto na ugali na bapa ya konyagi.

Unategemea nini hapo kama sio vifo vya ghafla tu!!?
Sio sababu, naungana na mtoa mada kuwa UMEKUWA MTU MZIMA

Misiba mingi kwa sasa sababu ya mitandao, ila hapo mtaani unapoishi huenda inapita mwaka hujaona turubai
 
Back
Top Bottom