Dunia ya sasa inaelekea wapi? kwanini watu wanakufa sana?

Dunia ya sasa inaelekea wapi? kwanini watu wanakufa sana?

Mtindo wa maisha mkuu, maisha yanaenda kasi sana kiasi kwamba kila mtu anakimbizana nayo namna anayoona inamfaa.

Teknolojia imekuja na mengi, mabaya na mazuri, mabaya ndio yanafahya tuishie kufa tukiwa na nguvu. Siku hizi, 30s na 40s ndio wanakufa sana, tena wanazimikq kama mishumaa tu.
 
Sio sababu, naungana na mtoa mada kuwa UMEKUWA MTU MZIMA

Misiba mingi kwa sasa sababu ya mitandao, ila hapo mtaani unapoishi huenda inapita mwaka hujaona turubai
Mwaka upite mtaa usiwe na turubai mkuu? Ndani ya mwezi wa kwanza na huu nineshuhudia misiba zaidi ya minne, miwili ni maradhi na mitatu ninayoifahamu ni ajali. Watu wanakufa bwana tuache utani.
 
Hakuna jipya chini ya jua
Wanakufa sana na wanazaliwa sana ndio maana watu wanaongezeka tena rapidly kufikia 2030 huenda dunia ikawa na watu bilioni9
 
Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu.

Wengi wa Wanaokufa ni watu wenye nguvu bado,
Dunia ya leo je inaelekea mwisho?

Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio mengine?
je ule mwisho u karibu?
Vifo vimekuwepo miaka yote, tofauti ya zamani na sasa ni approach yako.

Zamani labda kutokana na umri, haya mambo hukuwa ukiyapa uzito unaostahili. Ila sasa hivi unajihusisha na mambo mengi directly, mfano unafanya kazi, una vikundi vya kijamii nk kwahiyo circle yako wewe binafsi pia imeongezeka.

Ongezeko la vyombo vya habari na mitandao nayo imeongeza usambazaji taarifa. Miaka ya nyuma ilikuwa ngumu kusikia habari za ajali iliyotokea Kigoma (kama wewe sio mkazi wa eneo husika). Lakini pia umejikuta unaguswa sana na hayo mambo, that's why unahisi yameongezeka. Ila ukweli ni kwamba yalikuwepo tangia zamani.
 
Mnakula kuku wa kilo 4 mtaacha kufa kweli
Nguruwe mkubwa kama kirikuu mnamfakamia tu hamjui wamelishwa nini
Mashamba mnafurahia mbolea ya sumu
Mleta mada ana hoja ila asieelewa anakula nini ndio anasema kuwa eti hata zamani watu walikufa
Amkeni miili imejaa sumu
Watu wanakufa ghafla na miili mizuri ya kawaida ila unasikia flani kakata kamba kumbe sumu hizo
Life style pia inachangia sana
Umekulia home ugali na vyakula vyenye afya ila unapata tusenti kidogo unabadili maisha kabisa na kula kuku chips kila siku
Mnakufa mnajiona
 
rudia kusoma nilichoandika
Una hoja ila wabishi ni watanzania. Ni hivi: 1. dunia population imeongozeka 2. activities zimeongezeka 3. life style imebadilika. 4. Mazingira yamebadilika. 5. Competition imeongozeka. Haya yote na mengine yamefanya chances za watu wengi kufa kwa siku moja iwe kubwa. Fikiria kwa mfano bodaboda. Zamani kulikuwa na vifo vya bodaboda? Bila kusahau upashanaji habari umekua sana hivyo chances za kusikia vifo vingi vya mbali ni kubwa zaidi.
 
Mnakula kuku wa kilo 4 mtaacha kufa kweli
Nguruwe mkubwa kama kirikuu mnamfakamia tu hamjui wamelishwa nini
Mashamba mnafurahia mbolea ya sumu
Mleta mada ana hoja ila asieelewa anakula nini ndio anasema kuwa eti hata zamani watu walikufa
Amkeni miili imejaa sumu
Watu wanakufa ghafla na miili mizuri ya kawaida ila unasikia flani kakata kamba kumbe sumu hizo
Life style pia inachangia sana
Umekulia home ugali na vyakula vyenye afya ila unapata tusenti kidogo unabadili maisha kabisa na kula kuku chips kila siku
Mnakufa mnajiona
Hasa sisi wa nchi maskini hatujitambui. Activities zetu ndiyo mauti yetu. Uendashaji wa magari, tamaa ya fedha kwa kuuza bidhaa mbovu na zenye madhara.....
 
Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu.

Wengi wa Wanaokufa ni watu wenye nguvu bado,
Dunia ya leo je inaelekea mwisho?

Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio mengine?
je ule mwisho u karibu?
mbona wanaozaliwa ni wengi kuliko wanokufa ?😀
 
Hasa sisi wa nchi maskini hatujitambui. Activities zetu ndiyo mauti yetu. Uendashaji wa magari, tamaa ya fedha kwa kuuza bidhaa mbovu na zenye madhara.....
Watu hawajitambui kabisa na wenye akili wanadharaulika sana na ukitoa maoni watakuambia waache watu wafanye biashara usiwafungie riziki
Ujinga ni mwingi sana
Naapa Mungu kupunguza sana ajali hizi za kizembe linawezekana sana ila wanapenda rushwa sana na Polisi hawawezi kuzuia hilo kwa sababu ni wanufaika wakubwa
Lorry matairi na breaks zimeisha kabisa ila anaachiwa akauwe watu kisa katoa buku ya soda kwa traffic
Huku nilipo ajali zipo lakini gari inaharibika kiasi na vifo ni kama hakuna maana unasikia baada ya miezi tena
mmoja au wawili
Bongo kila leo vifo halafu imani zao ni ooh kafara
Na tamaa za kuuza vyakula feki kisa ni walipa kodi
 
Mkuu kwasasa miili yetu inachoka mapema sana, miili yetu imekuwa dhaifu sana tofaut na zamani. Hii imetokana na vyakula na vinywaji tunavyokunywa. Binadami tumekuwa na Kinga dhaifu sana.
Pamoja na miili yetu kuwa dhaifu lakin kuna suala la kunyanduana. Mtoto wa miaka 15 tayar ameaza kunyanduana, unategemea akifikisha miaka 30 atakuwa kwenye Hali gani? Lazima mwili utakuwa umeaza kuchoka.
 
Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu.

Wengi wa Wanaokufa ni watu wenye nguvu bado,
Dunia ya leo je inaelekea mwisho?

Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio mengine?
je ule mwisho u karibu?
Acha uoga Comrade. Kufa kupo tu. Halafu mwisho wa dunia ni ile siku yako ya kufa. Na ukifa utaicha dunia na viumbe wengine kama ulivyoikuta.

Muhimu tu uhakikishe umejiandaa. Zaa watoto wako kadhaa ili siku yako ya kupunzishwa kaburini, msoma taarifa aseme kama marehemu umeacha watoto wangapi, wajukuu wangapi, nk.
 
Mkuu kwasasa miili yetu inachoka mapema sana, miili yetu imekuwa dhaifu sana tofaut na zamani. Hii imetokana na vyakula na vinywaji tunavyokunywa. Binadami tumekuwa na Kinga dhaifu sana.
Pamoja na miili yetu kuwa dhaifu lakin kuna suala la kunyanduana. Mtoto wa miaka 15 tayar ameaza kunyanduana, unategemea akifikisha miaka 30 atakuwa kwenye Hali gani? Lazima mwili utakuwa umeaza kuchoka.
Miaka 15 mkubwa huyo. Zamani mama zetu ndio umri wa kuolewa huo tena wengine 13 au 14. Mtu anazaa wtt 8 au mpk 12 na anafikisha miaka 80 bado anaenda shamba kulima.
Halafu kunyanduana afya wewe ama vp? Labda kama kufanya ngono zembe
 
Back
Top Bottom