Kuna dunia uliwahi kuishi ukakuta watu hawafi sana? Kuna dunia moja tuu na hakuna ya kulinganisha na wewe hujawahi kuishi wakati mwingine zaidi ya huu.Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu.
Dunia ya leo je inaelekea mwisho? Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio mengine?
je ule mwisho u karibu?
Vipo kila siku havijaanza leo mkuu.... ni vile panga limepita kwa watu unawaowafahamuhujaelewa mada,nasema vifo ni vingi kila kukicha
zamani walikuwa wanakufa wazazi wanawaacha watoto ila siku hizi wanakufa watoto wanaacha wazazi,Sio siku hizi, Sena wewe umekua mkubwa, wakati upo mtoto walikua wanakufa wakubwa ila hutilii maanan sasa umekua na wanakufa wakubwa wenzio
Lifestyle ya sasa....magonjwa mapya na ya ghafla, Depression, ajali n.kSiku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu.
Wengi wa Wanaokufa ni watu wenye nguvu bado,
Dunia ya leo je inaelekea mwisho? Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio mengine?
je ule mwisho u karibu?
Siku hizi magonjwa ya lifestyle yanaondoa watu haraka. Pestcides na synthetic chemicals kwenye vyakula tunavyokula, vinywaji tunavyokunywa kuanzia juice zilizosindikwa, energy drinks na pombe zenye sumu (mnaita visungura).zamani walikuwa wanakufa wazazi wanawaacha watoto ila siku hizi wanakufa watoto wanaacha wazazi,
tumekwisha hakiSiku hizi magonjwa ya lifestyle yanaondoa watu haraka. Pestcides na synthetic chemicals kwenye vyakula tunavyokula, vinywaji tunavyokunywa kuanzia juice zilizosindikwa, energy drinks na pombe zenye sumu (mnaita visungura).
Kiujumla hatupo safe kama enzi za nyuma ambapo mtu alikuwa anakula vitu organic kuanzia mboga na tunda alilochuma shambani kwake lililorutubishwa kwa samadi, kuku anamkimbiza shambani na hata akinywa pombe ni kangara inayotengenezwa na asali au mbege ya ulezi na ndizi n.k.
Siku hizi ndizi mbichi inaivishwa ndani ya nusu saa tu, apple ili iongezewe shelf life inachomwa sindano, kuku anakuwa nadni ya week mbili aliwe. Mtu anakula ration kubwa ya chakula lakini hizo calories hazihitaji. Mtu akiamka anaoga anapanda garini anaingia ofisini anaagiza chapati na supu asubuhi, mchana wali jaa mchuzi juu, jioni anaingia garini tena anarudi nyumbani anaagiza kitimoto na ugali na bapa ya konyagi.
Unategemea nini hapo kama sio vifo vya ghafla tu!!?
Ndio hivyo hakuna alie salama.tumekwisha haki
Sio sababu, naungana na mtoa mada kuwa UMEKUWA MTU MZIMASiku hizi magonjwa ya lifestyle yanaondoa watu haraka. Pestcides na synthetic chemicals kwenye vyakula tunavyokula, vinywaji tunavyokunywa kuanzia juice zilizosindikwa, energy drinks na pombe zenye sumu (mnaita visungura).