Mwaka upite mtaa usiwe na turubai mkuu? Ndani ya mwezi wa kwanza na huu nineshuhudia misiba zaidi ya minne, miwili ni maradhi na mitatu ninayoifahamu ni ajali. Watu wanakufa bwana tuache utani.Sio sababu, naungana na mtoa mada kuwa UMEKUWA MTU MZIMA
Misiba mingi kwa sasa sababu ya mitandao, ila hapo mtaani unapoishi huenda inapita mwaka hujaona turubai
Vifo vimekuwepo miaka yote, tofauti ya zamani na sasa ni approach yako.Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu.
Wengi wa Wanaokufa ni watu wenye nguvu bado,
Dunia ya leo je inaelekea mwisho?
Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio mengine?
je ule mwisho u karibu?
Dunia ya zamani ilikuwa na watu pungufu ya bilioni 3 dunia ya sasa ina watu bilioni 8. Hivyo kwa hesabu za kawaida idadi ya vifo kuongezeka sio ajabu.hujaelewa mada,nasema vifo ni vingi kila kukicha
Well saidLifestyle ya sasa....magonjwa mapya na ya ghafla, Depression, ajali n.k
Mungu atuepushie roho za mauti IJN . Amen
Una hoja ila wabishi ni watanzania. Ni hivi: 1. dunia population imeongozeka 2. activities zimeongezeka 3. life style imebadilika. 4. Mazingira yamebadilika. 5. Competition imeongozeka. Haya yote na mengine yamefanya chances za watu wengi kufa kwa siku moja iwe kubwa. Fikiria kwa mfano bodaboda. Zamani kulikuwa na vifo vya bodaboda? Bila kusahau upashanaji habari umekua sana hivyo chances za kusikia vifo vingi vya mbali ni kubwa zaidi.rudia kusoma nilichoandika
Hasa sisi wa nchi maskini hatujitambui. Activities zetu ndiyo mauti yetu. Uendashaji wa magari, tamaa ya fedha kwa kuuza bidhaa mbovu na zenye madhara.....Mnakula kuku wa kilo 4 mtaacha kufa kweli
Nguruwe mkubwa kama kirikuu mnamfakamia tu hamjui wamelishwa nini
Mashamba mnafurahia mbolea ya sumu
Mleta mada ana hoja ila asieelewa anakula nini ndio anasema kuwa eti hata zamani watu walikufa
Amkeni miili imejaa sumu
Watu wanakufa ghafla na miili mizuri ya kawaida ila unasikia flani kakata kamba kumbe sumu hizo
Life style pia inachangia sana
Umekulia home ugali na vyakula vyenye afya ila unapata tusenti kidogo unabadili maisha kabisa na kula kuku chips kila siku
Mnakufa mnajiona
mbona wanaozaliwa ni wengi kuliko wanokufa ?😀Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu.
Wengi wa Wanaokufa ni watu wenye nguvu bado,
Dunia ya leo je inaelekea mwisho?
Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio mengine?
je ule mwisho u karibu?
Watu hawajitambui kabisa na wenye akili wanadharaulika sana na ukitoa maoni watakuambia waache watu wafanye biashara usiwafungie rizikiHasa sisi wa nchi maskini hatujitambui. Activities zetu ndiyo mauti yetu. Uendashaji wa magari, tamaa ya fedha kwa kuuza bidhaa mbovu na zenye madhara.....
Acha uoga Comrade. Kufa kupo tu. Halafu mwisho wa dunia ni ile siku yako ya kufa. Na ukifa utaicha dunia na viumbe wengine kama ulivyoikuta.Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu.
Wengi wa Wanaokufa ni watu wenye nguvu bado,
Dunia ya leo je inaelekea mwisho?
Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio mengine?
je ule mwisho u karibu?
Miaka 15 mkubwa huyo. Zamani mama zetu ndio umri wa kuolewa huo tena wengine 13 au 14. Mtu anazaa wtt 8 au mpk 12 na anafikisha miaka 80 bado anaenda shamba kulima.Mkuu kwasasa miili yetu inachoka mapema sana, miili yetu imekuwa dhaifu sana tofaut na zamani. Hii imetokana na vyakula na vinywaji tunavyokunywa. Binadami tumekuwa na Kinga dhaifu sana.
Pamoja na miili yetu kuwa dhaifu lakin kuna suala la kunyanduana. Mtoto wa miaka 15 tayar ameaza kunyanduana, unategemea akifikisha miaka 30 atakuwa kwenye Hali gani? Lazima mwili utakuwa umeaza kuchoka.