Dunia ya Soka ilipotekwa na Sir Alex

Dunia ya Soka ilipotekwa na Sir Alex

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Ni miaka 18 sasa, tangu Man Utd alipofanya maajabu katika fainali ya UCL ya mwaka 1999 kwa kutoka nyuma na kubeba ubingwa. Man Utd akatawala soka la Ulaya na Dunia nzima chini ya Sir Alex. Tuambie unapoona kikosi hiki unakumbuka wapi? Mchezaji gani ulimkubali katika kikosi hiki? Karibu utiririke...
26th-may-1999-uefa-champions-league-final-barcelona-spain-manchester-picture-id79054293
 
Captain Roy hakushiriki pia paul Scholes sasa hayo mapengo hayakuwa madogo na ukitizama wajukuu wa hitler duh mehmet scholl akina castian janker Lothar mwenyewe kapiteni achilia mbali roho mbaya steffen effenberg huko pana mtu toka bosnia hasan salihamidzic ilikuwa khatari mario basler alipiga tofali likalamba mti aaah buyern walikuwa vizuri. Kuffor game imeisha haamini alipiga ngumi chini pakachimbika kabisa ilibidi uwanja wa nou camp ufanyiwe marekebisho makubwa sehemu hiyo maana tundu kama la nusu mita lilichimbika.
 
Ulikuwa usiku ndani ya Barcelona dakika tatu zilibadilisha upepo bao la baby face killer Ole gunnar lilifanya wachezaji kama saba wa buyern wakae chini miguu ilishindwa kuibeba miili yao ilikuwa ni ushindi mchungu sana united walifanya ukatili ambao kwa haki za binadamu haukubaliki.
 
Ni miaka 18 sasa, tangu Man Utd alipofanya maajabu katika fainali ya UCL ya mwaka 1999 kwa kutoka nyuma na kubeba ubingwa. Man Utd akatawala soka la Ulaya na Dunia nzima chini ya Sir Alex. Tuambie unapoona kikosi hiki unakumbuka wapi? Mchezaji gani ulimkubali katika kikosi hiki? Karibu utiririke...
26th-may-1999-uefa-champions-league-final-barcelona-spain-manchester-picture-id79054293

Hapo kuna Giggs, Jaap Stam, Johnsen, Andy Cole, Dwight Yorke, Scheimeichel, Irwin, Gary Neville, Becks, Nicky Butt, Bloomquivist...kazi ilikuwepo hapa.
 
Captain Roy hakushiriki pia paul Scholes sasa hayo mapengo hayakuwa madogo na ukitizama wajukuu wa hitler duh mehmet scholl akina castian janker Lothar mwenyewe kapiteni achilia mbali roho mbaya steffen effenberg huko pana mtu toka bosnia hasan salihamidzic ilikuwa khatari mario basler alipiga tofali likalamba mti aaah buyern walikuwa vizuri. Kuffor game imeisha haamini alipiga ngumi chini pakachimbika kabisa ilibidi uwanja wa nou camp ufanyiwe marekebisho makubwa sehemu hiyo maana tundu kama la nusu mita lilichimbika.
muwa uliokula nguzo ulikua wa janker
 
300px-Man_Utd_vs_Bayern_Munich_1999-05-26.svg.png
 
Swadakta imeweka rekodi sawa palichimbika pale nou camp jasho na damu kimuhemuhe ila ilikuwa dhulmu ya hali ya juu SAF na wanae walipeleka ujerumani na kwa mashabiki wote ambao walikuwa wakiichukia united. Vikombe vya maana vitatu kwa msimu mmoja tena kwa style ya aina yake siku chache nyuma giggs alifungasha wakazi wa kijiji kile kina keown Lee dixon winterburn na mwenyekiti tonny adams hakika ulikuwa mwaka wa kukumbukwa.
 
Hahaha eti kijiji!!
 
Hahaha eti kijiji!!
Mzee mwenzangu wakumbuka bibi zetu ukiwauliza "mwanao wa ķwanza ulimzaa mwaka gani? walikuwa hawapepesi macho wala kuangalia tarehe wenyewe walimaliza hivi "yule baba yenu mkubwa wakati wa nzige au ndui au vita sasa weye msomi ni jukumu lako kuingia penye makabrasha ujue nzige walitawala kipindi gani. Lakini ni ngumu miaka ijayo kumwambia mjukuu wako kuwa baba yake ulimpata waqt giggs aliposepa na kijiji cha arsenal au hii ya msimu ulopita ya hazard sababu kwa nini teknolojia imekuwa.
 
Back
Top Bottom