Dunia ya Soka impe Luka Modric heshima yake

Hadi leo hii naamini kwamba Modric alifanya kosa kubwa sana kuihama Totenham
Wtf?
Kaenda madrid kashinda vikombe vikubwa, madrid ni mara 1000 ya spurs, ndoo maana wana la decima!ukistaafu soka kinachohesabika ni trophies ngapi na medals unazo kabatini.
 
kwa hiyo Ramos yeye kazi yake kubwa ni kupewa RED CARD?
 
Ha ha ha hii ni sawa na Aguero Pale Man City,,,ukicheza timu ya kawaida hata delle Ali anakuzidi...kule kuna benzema,ronaldo,bale halafu Umfikirie Modric ha ha ha kwel mkali ila ni wakawaida kwa waliomzunguka ,,Shikamoo Marcelo
 
ni bora ya ronaldo kuwategenea wachezaji wenzake, kulikon yule wa kwenu kutegemewa na timu.
 
kwa hiyo Ramos yeye kazi yake kubwa ni kupewa RED CARD?

Kwasasa ndiye mchezaji anayeshikilia record ya red-cards pale madrid na hadi kufikia Kwenye ile El-Classico iliyopita ya 2-3 loss for realmadrid to Barca alipatiwa red-card yake ya 22 angalia apo mwenyewe na list ya red-card zingine za [HASHTAG]#Nahodha[/HASHTAG] huyu Wa Real ,naomba uelewe kuwa sijasema Ramos ni beki mbaya...hapana kwa kuwa ukabaji ndio kazi yake ila anapomiss discpline kidogo kwenye ukabaji ndo huwa yanamkuta hayo,Mara zingine hana namna maana timu inakuwa imeelemewa na muda mwengine huwa tu amekamia sana match hasa za El-classico(huyu jamaa anazikamiaga sana),Na hiyo ndo sababu ya Mimi kumtolea yeye mfano kwenye suala la red-cards...maana huandamwa sana na jinamizi hilo la red-cards kila msimu...So far "SERGIO RAMOS GARCIA is the one of the Most Valuable [HASHTAG]#CenteBack[/HASHTAG] in the World".



Sergio Ramos and his 22 Real Madrid red cards: a retrospective
 
ni bora ya ronaldo kuwategenea wachezaji wenzake, kulikon yule wa kwenu kutegemewa na timu.
yule hata,c wa kwang n wa wenyewe
Na inajulikana tu kuwa co yule
Pekeake hata ronaldo
Aspokuwepo uwanjan
N sawa na yule mwemzie

Tim itaenda sare kama co kupoteza
Game kabsa
 
Bora tu skua mchezaj maana
Ngekua nishafungiwa maisha

Kumsujudia mwanadam kama
Mungu aiseee n.mlima kwang

Mfn hapo mpaka anaonekana
Kilia jamaa
 
Ushukuriwe mtoa mada kwa kuliona hili,Luka huwa ananikuna sana kwa pasi na krosi zake matata.
 
Modric huyu kijana wa Kicrotia Fundi sana sijui anatumia Petrol jinsi unavyomkuta kila kona ya uwanja na zile pasi zake za outer kwa kifupi anajua kusakata kabumbu.

Sitasahau goli alimfunga De Gea UEFA champions league pale OT
Agiza chochote hapo nitalipa mkuu,sioni namna ya kukuelezea ulivyonifurahisha kwa kumbukumbu hii mujarab.

Kama sikosei ilikuwa mwanzoni mwa 2013,na hii game niliicheki pale Coco Beach.
Nilishangilia kiasi mashabiki wa Man U waliniona nuksi.
Baadae ndio Ronaldo alipoongeza goli la pili (hakushangilia) na kuhitimisha karamu ya magoli 2-1 dhidi ya Man U iliyopelekea Man U kutupwa nje ya michuano ya UEFA.
Asante.
 
Umaarufu wake ulipungua alipohama...pale Totenham alikuwa mchezaji wakutegemewa zaidi na alipewa heshimakubwa zaidi ya huku alipo sasa.
Umaarufu my foot!!.Yaani mtu hadi sasa ana UEFA 2 halafu unamwambia mambo ya cjui umaarufu akiwa Spurs?..Hata mwenyewe Luke akikuskia atakuona fala sana.
 
kila mchezaji ana malengo yake kama kupata vikombe na pesa sasa huoni kama hapo Madrid kapata vikombe vya Uefa 2, Super cup 1 wakati tot huko hata Epl tu wanashindwa kuchukua
Nimemshangaa sana uyo jamaa na post yake..daaah.
 
Bora tu skua mchezaj maana
Ngekua nishafungiwa maisha

Kumsujudia mwanadam kama
Mungu aiseee n.mlima kwang

Mfn hapo mpaka anaonekana
Kilia jamaa

Mkuu...ndio maana saa zingine wanapigwaga hawa marefa,yani ukiangalia kwenye orodha ya red-cards za jamaa hiyo ya 19 na ata kama unaikumbuka ile mechi...ni Neymar tu alicheza na akili ya referee na referee hakuliona hilo...alichofanya ni kumtolea tu RED Ramos...ila ile card ilikuwa ina Doubt sana ata kweny bodi ya ligi huko laliga waliireview ile action a day after that game...ila ndo vile haikuwa na impact kwa kuwa match ilishachezwa na barca walishapata matokeo yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…