Dunia ya Soka impe Luka Modric heshima yake

Ni nani amekudanganya kwamba Pirlo amestaafu?
 
Ubora katika midfield ni muhimu sana kushinda mataji. Namkumbuka Makelele aliyekuwa R.Madrid ambaye alikuwa anaisaidia sana kushinda na alipoondoka (nadhani kwa sababu aliona hathaminiwi vya kutosha), R.Madrid ilipwaya. R. Madrid wasirudie makosa.
 
Huwa inatokea. Mpaka leo sielewi ALEXANDER SONG, ALEXANDER HLEB na Thomas Vermalin walifuata nini Barca, waliondoka The Gunnez wakiwa wafalme kila mmoja kwa muda wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi ukiwaeleza hili hawataki kuelewa labda kwa makusudi au kutokujua...hivi mtu kama Vardy unafikiri ni mjinga kuendelea kuichezea Leicester city ilhari kuna club kubwa zinamhitaji? No! ni kwa sababu anajua pale ndipo ilipo thamani yake na heshima yake kubwa ya soka anaipata pale.
 
Nashukuru sana mkuu
 
Siku nyingine ukivuta bange uwe unakula chakula..

Msafwa
Mpoloto, Mbeya
 
Mtoa mada una jicho la eagle, hongera sana.
 
Hatimae Modric ametambulika mchango wake. Mchezaji bora wa Dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…