Dunia ya Soka impe Luka Modric heshima yake

Dunia ya Soka impe Luka Modric heshima yake

Peak yake Na heshima aliyostaafu nayo ilihitimishwa Na ushindi wa Kombe la Dunia. Ni Kama Ronaldo Na umaarufu wote heshima yake ilipaa zaidi baada ya Ureno kuchukua Kombe la Ulaya. Lionel Messi naye atafikia heshima hiyo pale tu atakapoongeza kombe la dunia katika hazina yake. Sizungumzii upenzi wa mashabiki kwa mchezaji.
Ni nani amekudanganya kwamba Pirlo amestaafu?
 
Ubora katika midfield ni muhimu sana kushinda mataji. Namkumbuka Makelele aliyekuwa R.Madrid ambaye alikuwa anaisaidia sana kushinda na alipoondoka (nadhani kwa sababu aliona hathaminiwi vya kutosha), R.Madrid ilipwaya. R. Madrid wasirudie makosa.
 
Huwa inatokea. Mpaka leo sielewi ALEXANDER SONG, ALEXANDER HLEB na Thomas Vermalin walifuata nini Barca, waliondoka The Gunnez wakiwa wafalme kila mmoja kwa muda wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi ukiwaeleza hili hawataki kuelewa labda kwa makusudi au kutokujua...hivi mtu kama Vardy unafikiri ni mjinga kuendelea kuichezea Leicester city ilhari kuna club kubwa zinamhitaji? No! ni kwa sababu anajua pale ndipo ilipo thamani yake na heshima yake kubwa ya soka anaipata pale.
 
Leo modric amepewa tunzo, nahisi uefa wamesikia kilio chenu. Asante kwa kufatilia mpira kwa uangalifu na kujua nani yuko juu. Kwa sasa madrid wana balaa. Casemero, kroose akiungana na luka modric wanatengeneza combination moja matata sana. Wacha modric aitwe modric na tutashuhudia modric na bale wakicheza naspurse.
Nashukuru sana mkuu
 
Peak yake Na heshima aliyostaafu nayo ilihitimishwa Na ushindi wa Kombe la Dunia. Ni Kama Ronaldo Na umaarufu wote heshima yake ilipaa zaidi baada ya Ureno kuchukua Kombe la Ulaya. Lionel Messi naye atafikia heshima hiyo pale tu atakapoongeza kombe la dunia katika hazina yake. Sizungumzii upenzi wa mashabiki kwa mchezaji.
Siku nyingine ukivuta bange uwe unakula chakula..

Msafwa
Mpoloto, Mbeya
 
Bila kumung'unya maneno wanazi na wazandiki wa soka duniani hawamtendei haki Luka Modric. Wamekuwa wakimu-underrate na kumuona mchezaji wa kawaida.

Lakini kwa misimu kama mitatu Luka yupo katika ubora wa kipekee aking'arisha vilivyo safu ya kiungo ya Real Madrid.

Ila bahati mbaya, wazandiki wa soka wanawasifia viungo wa kawaida kama Pogba, Fabregas, Kroos, na Rakitic.

kikosini Real Madrid, wachezaji wanaosujudikiwa ni Ronaldo, Marcelo, Sergio Ramos na Casemiro. Wanamsahau mtu ambaye yuko nyuma ya pazia ya mafanikio ya hao wengine.

Kwanini dunia ya soka haimpi heshima yake Luka?
Mtoa mada una jicho la eagle, hongera sana.
 
Hatimae Modric ametambulika mchango wake. Mchezaji bora wa Dunia

Back
Top Bottom