Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Ingawa hadi sasa hakuna dawa inayoweza kuondoa VVU kabisa mwilini, maendeleo ya sayansi na teknolojia ya tiba yamefanya maisha ya watu wanaoishi na HIV kuwa bora zaidi na kupunguza kwa kiasi kikubwa madhara ya ugonjwa huo.
Moja ya maendeleo yanayovutia kwa sasa ni Lenacapavir, dawa mpya ya kundi la capsid inhibitor, ambayo inalenga kuzuia VVU katika hatua mbalimbali za mzunguko wake ndani ya mwili wa binadamu.
🤣🤣🤣 kwa hiyo tuichape tu sioShetani akikuona unamkwepa sana anakugonganisha uso kwa uso na bodaboda anaekimbia kwa kasi 🤣🤣
min -me