secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Sasa naanza kutumia nguvu zangu zote nilizojaaliwa na myezi mungu.
Wala siogopi kumchubua mtu. š„
Wala siogopi kumchubua mtu. š„
Unachoma moya after six monthsOngezea nyama nielewe
Uza assetMtumishi wa kawaida wa umma kipengele iko
Matoto yamenona unaweza I ichapa bila wasiwasi kumbe umekula mzogaSasa naanza kutumia nguvu zangu zote nilizojaaliwa na myezi mungu.
Wala siogopi kumchubua mtu. š„
Safi sanaSindano ya Lenacapavir ina ubora wa juu sana, ikionyesha ufanisi wa karibu asilimia 100 katika kuzuia maambukizi ya VVU. Inatolewa mara mbili tu kwa mwaka.
Hivi kwanini hii haipigwi vita? Mbona chanjo za covid 19 zilipigwa madongo sana humu JF. Au kwenye Ukimwi wazungu wanatupenda ila kwenye covid 19 ndio walikuwa hawatupendi?View attachment 3649165
Ingawa hadi sasa hakuna dawa inayoweza kuondoa VVU kabisa mwilini, maendeleo ya sayansi na teknolojia ya tiba yamefanya maisha ya watu wanaoishi na HIV kuwa bora zaidi na kupunguza kwa kiasi kikubwa madhara ya ugonjwa huo.
Moja ya maendeleo yanayovutia kwa sasa ni Lenacapavir, dawa mpya ya kundi la capsid inhibitor, ambayo inalenga kuzuia VVU katika hatua mbalimbali za mzunguko wake ndani ya mwili wa binadamu.
š¤£š¤£š¤£ kwa hiyo tuichape tu sioShetani akikuona unamkwepa sana anakugonganisha uso kwa uso na bodaboda anaekimbia kwa kasi š¤£š¤£
min -me
Siyo kiranga, huyu ni pumbaff sana tuUna ugomvii na brother Kiranga
Hahaha š, dah!Matoto yamenona unaweza I ichapa bila wasiwasi kumbe umekula mzoga
Sure ,toto lipo shatashata limewaka futa , guu la shampen na tako la kuvunja chaga kumbe wadadu watupu , kaa kiaskari.Hahaha š, dah!
mbona miezi 6 ni michache,Kaka hii unachoma moja Kila baada ya miezi sita
@2,500,000
Ninazooo
Halinaga miongozo.
Kaka izo nguvuuuuuuuu tukalime matikiti majiiiiSasa naanza kutumia nguvu zangu zote nilizojaaliwa na myezi mungu.
Wala siogopi kumchubua mtu. š„
Salamaleko
Ulitaka iwe ya muda ganiiišmbona miezi 6 ni michache,
Kwa kweriiiiiHalinaga miongozo.
š
Kaka unaogopa eeeeeeeeSure ,toto lipo shatashata limewaka futa , guu la shampen na tako la kuvunja chaga kumbe wadadu watupu , kaa kiaskari.
šSiyo kiranga, huyu ni pumbaff sana tu
Mungu wabariki wazunguHivi kwanini hii haipigwi vita? Mbona chanjo za covid 19 zilipigwa madongo sana humu JF. Au kwenye Ukimwi wazungu wanatupenda ila kwenye covid 19 ndio walikuwa hawatupendi?