Dunia ya Tiba Yapiga Hatua Kubwa: Lenacapavir na Mapinduzi katika Udhibiti wa HIV

Dunia ya Tiba Yapiga Hatua Kubwa: Lenacapavir na Mapinduzi katika Udhibiti wa HIV

View attachment 3649165

Ingawa hadi sasa hakuna dawa inayoweza kuondoa VVU kabisa mwilini, maendeleo ya sayansi na teknolojia ya tiba yamefanya maisha ya watu wanaoishi na HIV kuwa bora zaidi na kupunguza kwa kiasi kikubwa madhara ya ugonjwa huo.

Moja ya maendeleo yanayovutia kwa sasa ni Lenacapavir, dawa mpya ya kundi la capsid inhibitor, ambayo inalenga kuzuia VVU katika hatua mbalimbali za mzunguko wake ndani ya mwili wa binadamu.


min -me
Tumuombe Mh Kafulila tufanye PPP kwenye hii project itakuwa na manufaa kwa Taifa
 
Kaka Fanya studies acha izo hearsay... Wewe Fanya studies Dunia ya tiba ime advance sana


Tafuta watu wakuelimishe ndugu acha kua kama tumezaliwa enzi za feudalism
SmartSelect_20251010_203530_Samsung Internet.jpg
558206730_1319387633056969_2786002867969911614_n.jpg
 
Back
Top Bottom