Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
🤣🤣🤣 kwa hiyo tuichape tu sioShetani akikuona unamkwepa sana anakugonganisha uso kwa uso na bodaboda anaekimbia kwa kasi 🤣🤣
Tena kavuSafi, ngoja tukaichape kiroho mbaya bwashee 😅
Yesu Kristo anaondoa 100%🤗Ingawa hadi sasa hakuna dawa inayoweza kuondoa VVU kabisa mwilini
Kavu bado bwashee, kuna magonjwa mengi tuTena kavu
ARV Dawa za msaada hizi usije kulia machozi baadae.Safi, ngoja tukaichape kiroho mbaya bwashee 😅
Mhm 🤮Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, VIFIRO VIENDELEE.
Cc: min -me Mbaga Jr Harmful Poor Brain secretarybird
Nafahamu bwasheeARV Dawa za msaada hizi usije kulia machozi baadae.
Kaka hii unachoma moja Kila baada ya miezi sitaMungu ni mwema
HaaahaaNafahamu bwashee
Mungu wabariki. WazunguMungu ni mwema
Sindano ya Lenacapavir ina ubora wa juu sana, ikionyesha ufanisi wa karibu asilimia 100 katika kuzuia maambukizi ya VVU. Inatolewa mara mbili tu kwa mwaka.View attachment 3649165
Ingawa hadi sasa hakuna dawa inayoweza kuondoa VVU kabisa mwilini, maendeleo ya sayansi na teknolojia ya tiba yamefanya maisha ya watu wanaoishi na HIV kuwa bora zaidi na kupunguza kwa kiasi kikubwa madhara ya ugonjwa huo.
Moja ya maendeleo yanayovutia kwa sasa ni Lenacapavir, dawa mpya ya kundi la capsid inhibitor, ambayo inalenga kuzuia VVU katika hatua mbalimbali za mzunguko wake ndani ya mwili wa binadamu.
🤣🤣🤣 kwa hiyo tuichape tu sioShetani akikuona unamkwepa sana anakugonganisha uso kwa uso na bodaboda anaekimbia kwa kasi 🤣🤣
min -me
Mtumishi wa kawaida wa umma kipengele ikoKaka hii unachoma moja Kila baada ya miezi sita
@2,500,000
Ninazooo