Dunia ya Tiba Yapiga Hatua Kubwa: Lenacapavir na Mapinduzi katika Udhibiti wa HIV

Kwa hiyo fresh tugonge nyama tu bloangu?
Both at once tiba na kinga kwa wenye virusi wanatumia hawamezi dawa tena for 6month so kwa ambao wanafanya kazi on risk area wanachoma inakua kama prepep hawezi pata for 6month meanz kwa mwaka mara mbili
 
Sasa naanza kutumia nguvu zangu zote nilizojaaliwa na myezi mungu.

Wala siogopi kumchubua mtu. πŸ”₯
Both at once tiba na kinga kwa wenye virusi wanatumia hawamezi dawa tena for 6month so kwa ambao wanafanya kazi on risk area wanachoma inakua kama prepep hawezi pata for 6month meanz kwa mwaka mara mbili..
 
Both at once tiba na kinga kwa wenye virusi wanatumia hawamezi dawa tena for 6month so kwa ambao wanafanya kazi on risk area wanachoma inakua kama prepep hawezi pata for 6month meanz kwa mwaka mara mbili
Habari njema sana hiyo bloangu hasa kwa sisi wazee wa dry system ili raha ya milele iendelee kupatikana kwa kweli,yaani acha Mungu aitwe Mungu tu aisee
 
Both at once tiba na kinga kwa wenye virusi wanatumia hawamezi dawa tena for 6month so kwa ambao wanafanya kazi on risk area wanachoma inakua kama prepep hawezi pata for 6month meanz kwa mwaka mara mbili..
Hivi hii ndiyo ile ambayo ilitunika kule south Africa mwanzoni mwa mwaka huu?
 
Inadhibiti Tu sio kupona. Wanangu tuendelee kilaza hatari bado ni kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…