Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Dr Lizzy funny thing, kokoro ndo ali nifanya nianze jifunza lafudhi na maneno ya kikenya

Hasa Ile sauti yake aki ongeaπŸ˜‚, school Nika Anza ku make out jokes kwa kutumia sauti yake.
 
Ndio maana ni ngumu sana kupata mke mwema kipindi ukiwana fedha na demu wa sasa hivi ukisema umuigizie tu haupo vizuri ukamtongoza humpati, demu huyo huyo ukimrudia kwa kutumia fedha dk sifuri unamla.

Ndio maana watu siku hizi hawana time ya kuangalia sijui hisia za mapenzi/true love,mwendo wa weka mzigo upewe mzigo yaani mwendo wa kuuziana,japo wenyewe wanasema hawauzi.

Ndugu zangu wanaume ukiona unatumia sana hela kuliendesha penzi kaa ukijua hupendwi, so gonga piga chini aendelee kutafuta danga jingine.
 
This is called WIN WIN SITUATION. Maisha ni mtanange unapompa bila kupata faraja ya moyo daima utahuzunika so ili maisha yaende hakuna namna NIPE NIKUPEπŸ˜„ na hii iwe principle maishani
 
Hilo linajulikana tokea zamani,ila mnaambiwa nyie kwasababu unakuta mizigo mnazungusha kutoa ila hela mnaomba.Ukikutana na boya unamlia hela weeee,halafu mzigo unampa maramojamoja.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚aaah tunatofautiana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚aaah tunatofautiana
😁😁😁 hiyo ya kusema tunatofaitiana ni mbinu tu ya kimedani,wadada wengi unakuta mwanzoni anasema hivyo au anajibu kua 'usikariri' au 'inategemeana na mwansmke',kumbe ndiyo walewale😁😁,hii dunia imebadilika,lazima tukae ki-master,unataka pesa,namimi nipe nikitakacho,no problem,hutaki kawaombe mama,baba,ah kaka zako.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚amna. ni kweli tunatofautiana kama ambavyo wapi wanaume kukupa pesa mpaka msumbuane na wengine wala huitaji kujieleza kabla hujaomba tayari amekupa alafu kuna wengine kama hujaomba basi hupewiπŸ˜‚πŸ˜ŠπŸ˜Š
 
Kabisa kuna namna mabinti wakibongo wanatakiwa wabadilike zile zama za kila siku yeye wa kupewa tu zinapitwa na wakati , tuvitu tudogo tu tunahamasisha , mimi nilikua na manzi kila akija lazima aje candies yan nilikua nafurah tu [emoji1]
Huwa nashangaa sana nyie wenzetu mnapata wapi wanawake wanawanunulia vitu vitu, utasikia mie demu wangu aliwahi ninunulia simu, mara viatu mara nguo daaaah mie sikumbuki hata kama nishawahi pewa bigbom
 
Ndio aagize kama anaenda sudan?
Ndiyo maana Kuna haja mkiwa mnadate na Vijana wenzenu muwe mnawatoa japo kuwapeleka Hotel Siku Moja Moja walau kupeana "Exposure"

Tena ukifanya hivyo utajikuta unapewa vitu adimu hadi Utajikuta unatangaza Ndoa.

Hamuoni hao mabinti wakianza kudate na Wazee huwa hawataki Tena Vijana πŸ˜œπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Ndipo dunia ilipo kwa sasa, baadhi ya wanamke ukiwa na ukaribu nao na ukaonesha interest ya mapenzi kinachofuata ni kutaka ahudumiwe ila wewe ukitaka game anaona ni mapema sana.
Huduma itaenda direct proportional na Utamu..No Utamu No Huduma..Hatutaki kutapeliwa kifala fala
 
Wanaume tunajifanyaga alpha kwa demu ambaye hatujamwelewa kihivyo, kuna demu unakuta pisi kali, sura sura, rangi rangi, tako tako halafu hana mizinga, anakupa attention, ana story nzuri, kama una hela mbona unatoboka nyingi, kabla ya kula papuchi yake Extrovert
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…