Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Source
Giver
Taker

Source Pesa ukiipata kihalali don't spend it in fucking bitch.

Be a giver but not in win win situation

Taker ,receive in humbleness manner.
 
Yes wanapenda pesa sikatai na tunawapa ila mwanamke akishatanguliza maslahi mbele ni wa kwenda nae kiakili. Unamtreat kwa namna tabia yake ilivyo.
Vipi na mwanaume anaetanguliza kupata kipochi manyoya? Siku hizi upendo wa kweli umepungua kama si kupotea kabisa, kila mtu anamvizia mwenzake.
 
Vipi na mwanaume anaetanguliza kipochi manyoya mbele? Siku hizi upendo wa kweli umepungua kama si kupotea kabisa, kila mtu anamvizia mwenzake.
Mwanaume akishakutongoza kifuatacho hapo kinajulikana, una nia nae na unaona anakufaa jipe muda uruhusu mfahamiane zaidi.
Hilo swali wa kujibu ni nyie wanawake.
 
Vipi na mwanaume anaetanguliza kupata kipochi manyoya? Siku hizi upendo wa kweli umepungua kama si kupotea kabisa, kila mtu anamvizia mwenzake.
Mpaka wanawake mtakapoelewa kuwa

Sex doesn't equal to love,

Sex doesn't equal to food,

Sex doesn't equal to special gifts,

Sex shouldn't be a mode of payment for good deeds done by a man,

Then, you will have a lasting and loving relationship with men.

Men want more

Learn to invest in your man

La sivyo mtaishia kutombwa tu
 
Kijijini wapi huko nianze safari usiku huu?

Mimi huwa nachukua namba na kinachofuata ni urafiki ambao baadae hugeukia mahusiano(hii imewahi kuzaa matunda japo baada ya muda tuliachana). Natamani iwe hivyo tena na tena ila kuwapata wa hivyo ni shughuli pevu.
Huku naniii...🤓
Ngoja niangalie kama kipo kwenye map nikutumie 📌 kabisa! 😁

Just be patient & play it smart, ipo siku utampata malkia wako!

Chukua hii dedication! #goals
 
Mpaka wanawake mtakapoelewa kuwa

Sex doesn't equal to love,

Sex doesn't equal to food,

Sex doesn't equal to special gifts,

Sex shouldn't be a mode of payment for good deeds done by a man,

Then, you will have a lasting and loving relationship with men.

Men want more

Learn to invest in your man

La sivyo mtaishia kutombwa tu
Sijui kama umeelewa comment yangu.
 
Madam nime screen shot hii, ume sema deep concept aisee.

My mom taught me this, hata yule jirani yetu proffesor wa saikolojia ali nambia nikiwa mtoto, don't play with any dog around.
☺️☺️

Una bahati kweli yakuzungukwa na watu wa maana Intelligent businessman
Watumie vizuri!!!

Alafu thanks for the tag...nilisoma nikiwa logged out ndio maana sikuacha footprints , but I enjoyed it very much!!!🙌🏾🙌🏾🙌🏾
 
Siku hizi wame zeeka, doctor Ali olewa last time kumuona ni 2015 Kawa kibonge🤓.

Mama nae she is more focused kuchuma vichenchi vyangu, she always try to find an excuse avi tafune🤣🤣.

And about the story keep enjoying, ila omba USI kutane na watu design ya kina thabo 🤓
 
Huku naniii...🤓
Ngoja niangalie kama kipo kwenye map nikutumie 📌 kabisa! 😁

Just be patient & play it smart, ipo siku utampata malkia wako!

Chukua hii dedication! #goals
View attachment 2927627
Hicho kijiji ukitaja tu kesho naamkia huko😅

Daktari mpaka hapa nahisi umenielewa nahitaji mwanamke wa aina gani.

Ahsante kwa nyimbo nzuri 🤩🙏
 
Back
Top Bottom