Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #201
HawafugikiKinondoni mbona nje nje na hamuombani namba?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HawafugikiKinondoni mbona nje nje na hamuombani namba?!
Wanawake ni mama na dada zetu lakini sijui waliagana nini na pesa.Wee sijawahi bro baadhi yao Hawa huwa balaa na nusu....hata mama mzazi mwenyewe ukiwa nae anaweza kukuomba buku Tano 🤣🤣🤣
Tupo zama za nipe nikupe, hataki kutoa abaki na chake nibaki na changu.Mkuu umeupiga mwingi Sana
Zama za kutumiana zimepitwa na wakat
He said it all kwakweli!!!👊🏾👊🏾Katema madini haswa ila swali linakuja kwa kizazi cha sasa kuwapata hao alioeleza hapo sio shughuli ndogo na ndio ndoto ya waoaji wengi.
Mzigo anakupa au hakupi?
Mkuu Kuna Uzi humu wa mahondaw akielezea alivokupiga kitu kizito mpk mkabreak up, usirudie ule ujinga tena[emoji4]
We ndio mchizi wetu sasa.Utoto raha...
Hivi bado kuna watu wanazungushana?
Ha ha ha. .....akil za wanawake Kuna MDA zinakua ON/OFFNilimuona aibu mimi, nikasema hivi huyu mwanamke zinamtosha kweli? Sasa hiyo ndio suprise gani
Akijibu nitagMkuu Kuna Uzi humu wa mahondaw akielezea alivokupiga kitu kizito mpk mkabreak up, usirudie ule ujinga tena[emoji4]
Well said daktari nakubaliana na yote uliyoyaeleza. Kwa sasa kwa experience yangu ni ngumu sana kumpata mwanamke wa aina hiyo tena kwa mjini ndio changamoto sana.He said it all kwakweli!!!👊🏾👊🏾
Mi naamini kwamba kuna wakati huwa mnajifelisha wenyewe!!!
Shimba ya Buyenze amesema kitu kimoja chamsingi sana. Pamoja na kwamba "wanawake wa maana" kwa standard zenu sio wengi, wapo, na inawapasa na nyie kuji-package in a way that you'll qualify to be with one. You cannot be with a high-value woman if you yourself are not a high-value man.
Lingine ni APPROACH!!!!
Ukikutana na mimi, hunijui, sikujui na uka-express interest yako kwangu kabla hata hatujawa na one deep/meangful conversation itakayokusaidia kujua mimi ni mtu aina gani, sitoweza kukuchukulia serious. I mean, utawezaje kujua kama nafaa kuingia kwenye mahusiano ya maana na wewe kama hunijui kiundani??? Kama ukiniambia kabisa unataka tuburudishane tu (one night stand, something casual etc. Etc...) ntakuelewa, ila sio zaidi ya hapo.
Katika kitu ambacho mnapaswa kutilia maanani (ikiwa you after a meaningful relationship that is..) ni kujaribu kuelewa hao kina dada mnaokutana nao ni watu wa aina gani before making a move.
Yes, umevutiwa na kasura kake, umbo limekaa vizuri, akitembea ana swagg...but what about her values?? Principles zake about life?? What does she believe about this or that??? Because those are the things that makes a person.
Anzeni ku-invest on deep conversations. Ask her tricky questions zitakazokusaidia kujua misimamo yake ni ipi...
Uelewa wake ukoje...
Maturity Level...
Is she a GIVER or a TAKER...?
Matarajio yake kwenye mahusiano ni yapi...
Etc. Etc...
That way, kwanza utaweza kuchuja mapema ili usipoteze muda wako na mtu asiyekufaa, pili kama umekutana na mwanamke wa maana nae ataelewa interest yako inatokea wapi, pia wewe ni mwanaume wa aina gani.
Apo aliwaza hela yake kuitumia akaona hapana 😂Ha ha ha. .....akil za wanawake Kuna MDA zinakua ON/OFF
😂 za kichwaMkuu Kuna Uzi humu wa mahondaw akielezea alivokupiga kitu kizito mpk mkabreak up, usirudie ule ujinga tena[emoji4]
🤗👊🏾Well said daktari nakubaliana na yote uliyoyaeleza. Kwa sasa kwa experience yangu ni ngumu sana kumpata mwanamke wa aina hiyo tena kwa mjini ndio changamoto sana.
Kujipa muda wa kujuana na kufahamiana ni vizuri zaidi.
Ushauri wako nimeupokea na nitaufanyia kazi.
Kwa kweli nilijisikia vibaya na nilitamani kumsaidia maana alikuwa anadaiwa shilingi 32,500 tu ila bahati mbaya nilikuwa na Bibi yenu ingeleta picha mbaya.Kuna wakati wanawake huwa tunazidiwa na ushamba mpaka tunajiabisha na kujichoresha kupita maelezo.
Huenda alikuwa hajala hivyo vyakula Kwa muda mrefuAkome kabisa huyo dada anaagiza na kula kama anaenda kubeba zege 😂
Mimi sina roho ngumu ila sipendi mtu atembelee upepo wangu, ningelipia tu kama hela nnayo.
Huu uthenge sanaDemu anakuchagulia location halafu anataka akifika aspend ila bill ulipe wewe 😂😂😂
Mzee hao mabinti sidhani Kama zama hizi Wana patikana😂.Jaribu mahusiano yasiyoegemezwa kwenye ngono wala pesa ukibahatika kuyapata. Mahusiano yaliyojengwa katika misingi ya urafiki na ushikaji wa kushibana, kusaidiana, kucheka na kukaa pamoja. Utashangaa sana. Hata hutajua kama unahudumia maana yote utafanya kwa moyo mweupe. Na yeye atakupa papuchi kwa upendo tu tena bila presha; na nyote mtainjoi sana.
Mahusiano ya aina hiyo yapo ila itabidi upate binti anayejielewa na kuijua thamani yake vizuri. Na wewe pia inabidi usiwe furushi; na uwe na mtazamo mpana jumuishi kuhusu maisha, mahusiano, mapenzi, ubinadamu na thamani ya mwanamke.
Madam nime screen shot hii, ume sema deep concept aisee.He said it all kwakweli!!!👊🏾👊🏾
Mi naamini kwamba kuna wakati huwa mnajifelisha wenyewe!!!
Shimba ya Buyenze amesema kitu kimoja chamsingi sana. Pamoja na kwamba "wanawake wa maana" kwa standard zenu sio wengi, wapo, na inawapasa na nyie kuji-package in a way that you'll qualify to be with one. You cannot be with a high-value woman if you yourself are not a high-value man.
Lingine ni APPROACH!!!!
Ukikutana na mimi, hunijui, sikujui na uka-express interest yako kwangu kabla hata hatujawa na one deep/meangful conversation itakayokusaidia kujua mimi ni mtu aina gani, sitoweza kukuchukulia serious. I mean, utawezaje kujua kama nafaa kuingia kwenye mahusiano ya maana na wewe kama hunijui kiundani??? Kama ukiniambia kabisa unataka tuburudishane tu (one night stand, something casual etc. Etc...) ntakuelewa, ila sio zaidi ya hapo.
Katika kitu ambacho mnapaswa kutilia maanani (ikiwa you after a meaningful relationship that is..) ni kujaribu kuelewa hao kina dada mnaokutana nao ni watu wa aina gani before making a move.
Yes, umevutiwa na kasura kake, umbo limekaa vizuri, akitembea ana swagg...but what about her values?? Principles zake about life?? What does she believe about this or that??? Because those are the things that makes a person.
Anzeni ku-invest on deep conversations. Ask her tricky questions zitakazokusaidia kujua misimamo yake ni ipi...
Uelewa wake ukoje...
Maturity Level...
Is she a GIVER or a TAKER...?
Matarajio yake kwenye mahusiano ni yapi...
Etc. Etc...
That way, kwanza utaweza kuchuja mapema ili usipoteze muda wako na mtu asiyekufaa, pili kama umekutana na mwanamke wa maana nae ataelewa interest yako inatokea wapi, pia wewe ni mwanaume wa aina gani.
Kiufupi ana Kuchoma 🤓😂Demu anakuchagulia location halafu anataka akifika aspend ila bill ulipe wewe 😂😂😂
Dr Lizzy ni hazina bila kumsahau binti kiziwi wana ushauri wa kujenga sana wenye maadili.Madam nime screen shot hii, ume sema deep concept aisee.
My mom taught me this, hata yule jirani yetu proffesor wa saikolojia ali nambia nimiwa mtoto, don't play with any dog around.