Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

😂 miezi miwili upo na mtu kila siku ni kilio cha shida. Hapana, hapana, hapanaaa siku 60 nyingi sana kutoboka.
😂😂😂 nimekosa mimi, nimekosa sana, siku zisizidi
Sijapitisha 7 ila kama ushamwaga sera na anataka fedha zako ila ukimuomba anakwambia n mapema sana kupewa kaa kwa pasword
apa ni simple tu, ABORT MISSION
 
Kwa nini ufanye siri?
Unamjulisha lengo lako mapema kabla hujawekwa 'friend zone'
Inasemekana once unapomfuata ke na kuhitaji namba na ukaribu nae tayari wanakuwa wanajua kifuatacho, hapo inabaki wewe tu kumwaga sera.
 
😂 mwaka juzi ilinitokea hiyo ila mbinu ya kuwa na akiba mfukoni au kwenye simu iliniokoa/ilituokoa.
Hii pisi ilinijulisha inakuja town imetoka mkoa tukutane nikakubali, ikajitutumua imenimiss tukae mahali tule tunywe nikataka kumpiga chenga ya mwili ila akaniambia kashaweka oda mahali ni vyema tukienda, nikakubali. Tumekula tumemaliza bill inakuja ananiambia amechanganya pochi, yenye hela kaacha nyumbani, nilikuwa na hela ya rejesho ikabidi nilipie vinginevyo ilikuwa ni kuaibishana.
Nilipigwa hivyo hivyo 🤣🤣... Show yangu ilikuwa hivi
Bidada hatukuonana muda Sana Pindi chuoni nilimpenda Sana akanikazia ana mahusiano nikaelewa Maisha yakaendelea. After 5years naona namba ngeni kupokea yeye aka yangu ilikuwa famous chuoni aliniita hivyo, Kwanza alianza na sorry nyiiiingi then she told me "kitumbua kimeingia mchanga" sikumuelewa bana kumbe anamaanisha ana mtoto, akataka tuonane ikawa hivyo na kuna sehemu patuliivu tuonane 😅😅 kila kitu juu yake, Mimi nikawaza Hawa watu wanaweza kukuabisha ukiwasikiliza hata kama wako njema 🤣🤣. Siku imefika nimefatwa na Bolt yeye akiwemo, tumefika as gentleman nikatoa Hela ya usafiri. Stori za hapa na pale mara menu hiyo baada ya order, I miss you kibaoo nilienda na Akili mbili 😅😅, sasa huwa sitembei na wallet maana huwa na msemo wangu za wallet hazikai nyingiii, huwa nasikia raha Sana nikitoa rubber band na huwa sina hulka ya kutoa pesa nyingi mbele ya mwanamke so natenga kiasi kadhaa pembeni. Nikaenda washroom nikiwa nimehaidiwa Leo ntapewa nilivyonyimwa miaka ileee, we bana ile sehemu tuliyoenda ina garden so ukitoka washroom naiona Meza yetu, nikamwona mhudumu anaweka bill pale wakati naongea na simu huku naangalia vinanyofanyika pale Mezani bi dada kaangalia bill hakuweka chochote akafunika kitabu 🤣🤣, nimefika anajifanya haoni kama bill basi nikalipa, stori zikaendelea mpaka tunaondoka nacheka moyoni..😂😅, kwake nilimshusha ahadi yake alidai anaenda mchukua mtoto wake nikasema poa. All in all nilifurahi kumuona ila alikuwa na yake kichwani, later alianza vizinga Kwa njia ya mkopo hapo ana Kazi nzuri tu, nikamfutilia mbali alijua nitamzingatia Sana. Baadhi ya wanawake Mungu anawaona asee 😂😂😂
 
Kama nawaona mademu na vikongwe wa humu wanavyosonya na machozi kulengalenga!...tena ushirikiano grade one yaan atoe utamu na aingize mwenyewe,ikichomoka aingize tena huku na mauno ya kutosha!si rahisi kupewa misimbazi na mtu asie nduguyo na huwa tunatoa huku nyoyo zinamwaga damu so lazma pawepo na healing center ili mzani uwe balanced!
😂 hayo maelekezo umetisha mkuu
 
Nilipigwa hivyo hivyo 🤣🤣... Show yangu ilikuwa hivi
Bidada hatukuonana muda Sana Pindi chuoni nilimpenda Sana akanikazia ana mahusiano nikaelewa Maisha yakaendelea. After 5years naona namba ngeni kupokea yeye aka yangu ilikuwa famous chuoni aliniita hivyo, Kwanza alianza na sorry nyiiiingi then she told me "kitumbua kimeingia mchanga" sikumuelewa bana kumbe anamaanisha ana mtoto, akataka tuonane ikawa hivyo na kuna sehemu patuliivu tuonane 😅😅 kila kitu juu yake, Mimi nikawaza Hawa watu wanaweza kukuabisha ukiwasikiliza hata kama wako njema 🤣🤣. Siku imefika nimefatwa na Bolt yeye akiwemo, tumefika as gentleman nikatoa Hela ya usafiri. Stori za hapa na pale mara menu hiyo baada ya order, I miss you kibaoo nilienda na Akili mbili 😅😅, sasa huwa sitembei na wallet maana huwa na msemo wangu za wallet hazikai nyingiii, huwa nasikia raha Sana nikitoa rubber band na huwa sina hulka ya kutoa pesa nyingi mbele ya mwanamke so natenga kiasi kadhaa pembeni. Nikaenda washroom nikiwa nimehaidiwa Leo ntapewa nilivyonyimwa miaka ileee, we bana ile sehemu tuliyoenda ina garden so ukitoka washroom naiona Meza yetu, nikamwona mhudumu anaweka bill pale wakati naongea na simu huku naangalia vinanyofanyika pale Mezani bi dada kaangalia bill hakuweka chochote akafunika kitabu 🤣🤣, nimefika anajifanya haoni kama bill basi nikalipa, stori zikaendelea mpaka tunaondoka nacheka moyoni..😂😅, kwake nilimshusha ahadi yake alidai anaenda mchukua mtoto wake nikasema poa. All in all nilifurahi kumuona ila alikuwa na yake kichwani, later alianza vizinga Kwa njia ya mkopo hapo ana Kazi nzuri tu, nikamfutilia mbali alijua nitamzingatia Sana. Baadhi ya wanawake Mungu anawaona asee 😂😂😂
Huwa nawaambiwa jamaa zangu, mwanaume ukitoka kukutana na ke hakikisha una bajeti yako ya kutosha kuepuka kudhalilika, hatujui ni nini walizungumza na nyoka 😂
 
Wengi wabinafsi sana na hata akija na kitu atataka ukigharamikie wewe.

Kuna pisi ilinifanyia suprise ya kijinga sana, imetoa oda ya picha ya kuchora kwa mchoraji, imekamilika ananipigia simu anadaiwa nilipie ile picha nikaona huu ujinga siwezi.
Ha ha ha....yaan sapraiz afanye Wewe na pesa ulipe Wewe, upuuz wa wapi huu[emoji2]
 
Huwa nawaambiwa jamaa zangu, mwanaume ukitoka kukutana na ke hakikisha una bajeti yako ya kutosha kuepuka kudhalilika, hatujui ni nini walizungumza na nyoka 😂
Wee sijawahi bro baadhi yao Hawa huwa balaa na nusu....hata mama mzazi mwenyewe ukiwa nae anaweza kukuomba buku Tano 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom