Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Jaribu mahusiano yasiyoegemezwa kwenye ngono wala pesa ukibahatika kuyapata. Mahusiano yaliyojengwa katika misingi ya urafiki na ushikaji wa kushibana, kusaidiana, kucheka na kukaa pamoja. Utashangaa sana. Hata hutajua kama unahudumia maana yote utafanya kwa moyo mweupe. Na yeye atakupa papuchi kwa upendo tu tena bila presha; na nyote mtainjoi sana.

Mahusiano ya aina hiyo yapo ila itabidi upate binti anayejielewa na kuijua thamani yake vizuri. Na wewe pia inabidi usiwe furushi; na uwe na mtazamo mpana jumuishi kuhusu maisha, mahusiano, mapenzi, ubinadamu na thamani ya mwanamke.
THREAD IFUNGWE!!!!!
 
Kuna jamaa nilikutana naye Mgahawa Fulani wa Chakula, alikuwa na Manzi Mmoja white hivi.

Picha linaanza Yule Manzi kaagiza Kuku mzima, mishikaki, Chipsi, Soda sijui na mazaga gani.

Baada ya dakika 10 hivi jamaa, akatoka nje kama anapiga simu hivi.

Ndiyo hakurudi kabisa.

Inaonekana yule Manzi hakuwa na fedha ya kulipa na alikuwa anamtegemea yule Jamaa.

Hivyo alilazimika kuacha Simu Janja yake (Smartphone) kama dhamana.

Inaonekana yule Dada alikutana na Vijana wenye roho ngumu kama ya Mtoa Mada Half american 😜

Yule Binti hakujua Vijana wanahitaji "Game" kabla ya kuanza kuhudumia 🤗
Kuna wakati wanawake huwa tunazidiwa na ushamba mpaka tunajiabisha na kujichoresha kupita maelezo.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] zaman kipindi cha ukeketaji ilikua ni haki tugharamike kila kitu ,ila sasa ivi kama ni utamu tunapata wote , ya nini mmoja tu atoboke mfuko?
Hapana bado hamjamaliza, siku mkiachana na mtazamo wa kwamba mwanamke kuchelewa kuolewa au kuwa na wanaume wengi ni Malaya, basi wanawake nao wataanza kutoboka kama nyie [emoji4][emoji4]
 
Habari wakuu,

Dunia inaenda kasi sana tupo kwenye zama za nipe nikupe, mwanamke unataka hela ya mwanaume(kuhudumiwa) basi uwe tayari kutoa atakachotaka mwanaume.

Sio kutaka kuhudumiwa alafu mwanaume akihitaji tunda zinaanza sababu "ooh bado ni mapema sana kufanya hivyo". Mbona hela na kuhudumiwa hamuoni ni mapema?

Kama haupo tayari kutoa usiwe tayari kutaka pesa na kuhudumiwa, kila mtu abaki na chake.

Ni muda gani ukishapita baada ya kufahamiana ni sahihi kuomba game?

Mtakaokuja kunipa pole nazipokea, ahsanteni 😅

NAWASILISHA.
Haaaahaaahaa....hiyo utatoa hutoi ndio hiyo sasa
 
Hapana bado hamjamaliza, siku mkiachana na mtazamo wa kwamba mwanamke kuchelewa kuolewa au kuwa na wanaume wengi ni Malaya, basi wanawake nao wataanza kutoboka kama nyie [emoji4][emoji4]
Huko tulishatoka mkuu yote hayo tuliyafanya ili kumheshimisha mwanamke ila kwa sasa tumegundua hamtaki hizo mishe tena.
 
Kama nawaona mademu na vikongwe wa humu wanavyosonya na machozi kulengalenga!...tena ushirikiano grade one yaan atoe utamu na aingize mwenyewe,ikichomoka aingize tena huku na mauno ya kutosha!si rahisi kupewa misimbazi na mtu asie nduguyo na huwa tunatoa huku nyoyo zinamwaga damu so lazma pawepo na healing center ili mzani uwe balanced!
 
Back
Top Bottom