Edwin Minja
Member
- Aug 10, 2013
- 81
- 138
pole sana kwa kunyimwa 😂Habari wakuu,
Dunia inaenda kasi sana tupo kwenye zama za nipe nikupe, mwanamke unataka hela ya mwanaume(kuhudumiwa) basi uwe tayari kutoa atakachotaka mwanaume.
Sio kutaka kuhudumiwa alafu mwanaume akihitaji tunda zinaanza sababu "ooh bado ni mapema sana kufanya hivyo". Mbona hela na kuhudumiwa hamuoni ni mapema?
Kama haupo tayari kutoa usiwe tayari kutaka pesa na kuhudumiwa, kila mtu abaki na chake.
Ni muda gani ukishapita baada ya kufahamiana ni sahihi kuomba game?
Mtakaokuja kunipa pole nazipokea, ahsanteni 😅
NAWASILISHA.
muda sahihi haupo itategemea na context ya kwenu tu ! lakini in general (kama hakuna distance relationship) ndani ya miez miwili uwe ushakua nae full faragha (chumbani) ata kama usipokula, na ndani ya siku 90 ujilie 😂